VIDEO: Nape akiongelea hatua ya Lowassa kuhama Chama

VIDEO: Nape akiongelea hatua ya Lowassa kuhama Chama

Wako wanaotaka uongozi na wako wanaotaka kuongoza watu.Sasa hapa bwana Lowassa anataka uongozi na ndio maana alipokosa fursa CCM akamnunua Mbowe na kuhamia CHADEMA.

Hayo sio kwake tu na MAKONGORO MAHANGA umekisikia baada ya kukataliwa na wananchi (maana hakua akiwaongoza vizuri) amehama tena kwa aibu akiongea na waandishi kataja mambo ya kutopewa uwaziri kwa muda mrefu kwamba pia yamemkera. ni aibu kuwa na madokta kama wale CCM bora tu wahame.
 
Huyu ni Vuvuzela tu hata ajui kazi pevu iliyoko mbele yake subiri ni suala la muda tu.Naamini nyimbo zote za marehemu zitaimbwa na Hamtaambulia kitu.

Mbona kasema ukweli tuu, hivyo lowassa asilibalika kupeperusha bendera ya CDM/UKawa unadhani angejiunga na chadema, ungemuona Act au chama kingine. Hilo ni ukweli kabisa . Bora hakuja na kebehi
 
ajitokeze mkuu wa kitengo ajibu sio huyu mjinga mjinga na mropokaj...km mzee wa kitengo hajarud australia aseme mwingine sio huyu jinga
 
Mbona kama ana uso wa woga woga vile....huyu si yule vuvuzela tunayemjua...kweli dawa imeanza kuingia taratibu....mbona hajaongea kuhusu boss wake kuhusishwa na Richmond... Ukawa chezeni karata zenu vzuri hawa jamaa wanajipanga kuja na mkakati...wanaweza kujidai wanafanya siasa za ustaarabu ili kuwaadaa wananchi....inabidi ukawa muwe na mkakati....pamoja na sera si mbaya mkawa mnarusha makombora kidogo kidogo...eti anasema chama kimekulea....kama kimekulea ndo kije kikidhalilishe hadharani....mbona hajaongelea kuhusi kukiukwa kwa katiba na kanuni ktk mchakato...mbona hajajifaragua kama alivojifaragua kwa Kinginge???? Nape umeanza kulowa na utalowa sana na sidhani kama hata huo ubunge ambao kura za maoni umepita kimizwngwe utaupata...
 
Kiukweli hajaeleweka, wanaotaka uongozi na wanaotaka kuongoza, nani kaelewa hapo?
 
Nape, Jerry, Makonda ndio vijana waliopewa uhongozi na JK kwa ajili ya kazi moja tu, kumchafua Lowasa mbele za wa Tanzania. Sijui itakuwaje kwao kama Lowasa akishinda uchaguzi huu. Udini, na ukanda umokiaribu CCM chini ya Kikwete. RIP CCM.
 
Akiongelea suala la kuondoka kwa baadhi ya wanaccm na viongozi kisa kukatwa Nape anasema viongozi hawa wamekosa nidhamu ya kushukuru kwa fursa walizopewa.

Yaani kunyimwa fursa moja tu ndio wameamua kuhama chama.

Amesisitiza wanaccm wote waliopitishwa kwenye kura za maoni kwa rushwa watakatwa tu!!

Huyu kijana amekuwa kisu kikali sana cha kunyofoa magamba.
 
Akiongelea suala la kuondoka kwa baadhi ya wanaccm na viongozi kisa kukatwa Nape anasema viongozi hawa wamekosa nidhamu ya kushukuru kwa fursa walizopewa.

Yaani kunyimwa fursa moja tu ndio wameamua kuhama chama.

Amesisitiza wanaccm wote waliopitishwa kwenye kura za maoni kwa rushwa watakatwa tu!!

Huyu kijana amekuwa kisu kikali sana cha kunyofoa magamba.

Nina imani nayeye pia atakatwa.
 
Abraham Lincoln aliwahi kusema:nanukuu"usiseme Marekani imekufanyia nini sema umeifanyia nini marekani" hapa anaetakiwa kushukuriwa ni Lowasa kwa aliyoitendea CCM kwakuwa ccm haitendi wala kufikiri ina Sera.inatafuta watekelezaji Wa Sera ukiona umefikia ngazi ya juu kabisa ya utekelezaji Wa Sera ujue umefanya mengi sana mazuri hadi ukaonekana hapo unaweza kutumika sana hata zaidi ya hapo.sasa hawa waliozawadiwa ngazi za juu bila kutumika ndio wanaotakiwa kushukuru.hivyo Nape shukuru kwa zawadi uliotunukiwa bila kutumika
 
Yeye mwenyewe anataka uongozi kwa kulipa mawakala 95mil. Na kuiba kura duuuu
 
Vijembe vyaanza taratibu pale Nnauye kwa dharau CDM kwa kuwakejeli kumsajil lowasa na kumfanya kiongoz wao, binafsi naona upinzan ukipoteza mwelekeo na zaid baada ya kuthibitika slaa kukaa pemben daa mbowe ameweka tumbo mbele but itamcost, kuna mazuzu mengine kila asemalo mbowe wao n sawa lkn slaa kamkatalia. Pongez kwako slaa japo ulimuacha ZZK anyanyaswe namna ile hukuweka uwaz but na wewe yamekutokea
 
Vijembe vyaanza taratibu pale Nnauye kwa dharau CDM kwa kuwakejeli kumsajil lowasa na kumfanya kiongoz wao, binafsi naona upinzan ukipoteza mwelekeo na zaid baada ya kuthibitika slaa kukaa pemben daa mbowe ameweka tumbo mbele but itamcost, kuna mazuzu mengine kila asemalo mbowe wao n sawa lkn slaa kamkatalia. Pongez kwako slaa japo ulimuacha ZZK anyanyaswe namna ile hukuweka uwaz but na wewe yamekutokea; chama kinawenyewe bado Hawa...
 
Back
Top Bottom