VIDEO: Nape akiongelea hatua ya Lowassa kuhama Chama

VIDEO: Nape akiongelea hatua ya Lowassa kuhama Chama

Wako wanaotaka uongozi na wako wanaotaka kuongoza watu.Sasa hapa bwana Lowassa anataka uongozi na ndio maana alipokosa fursa CCM akamnunua Mbowe na kuhamia CHADEMA.
 
Wako wanaotaka uongozi na wako wanaotaka kuongoza watu.Sasa hapa bwana Lowassa anataka uongozi na ndio maana alipokosa fursa CCM akamnunua Mbowe na kuhamia CHADEMA.
Huyu ni Vuvuzela tu hata ajui kazi pevu iliyoko mbele yake subiri ni suala la muda tu.Naamini nyimbo zote za marehemu zitaimbwa na Hamtaambulia kitu.
 
Naona na yeye mwenyewe yumo katika wale wanaotafuta UONGOZI kwa maslahi yao wenywe maana amekamatwa AKIHONGA ili kupata UBUNGE:A S-cry::A S-cry:Nyani kweli haoni...
 
Huyu nape bado ana hofu na takukuru ndio maana hajibu kwa majigambo, but kuhusu ushindi..!? tutawapiga bao la tobo😀
 
Haha...Nape amenunua ubunge......jaman..hana jipya huyooo...njaaa kali
 
Thank u comrade Nape, tulikuwa tunasuburi kauli ya chama kuhusu hili fisadi ambalo limejivua nguo hadharani na kuwa uchi; kweli Watanzania watamwazibu vikali sana katika uchaguzi huu na vibaka wenzie Ukawa
 
Nape si ndo alikamatwa anahonga pesa halafu TAKUKURU wakarudi kumsafisha
 
Atawaadhibu nyie mlio mtwisha mzigo wa ufisadi
 
mbona kwa sasa wanaogopa sana kumtuhumu?au wanajua kwa iv sasa ni majibizano?namuomba lowassa ayajibu makombora kwa jinsi yatakavyotumwa.
 
Thank u comrade Nape, tulikuwa tunasuburi kauli ya chama kuhusu hili fisadi ambalo limejivua nguo hadharani na kuwa uchi; kweli Watanzania watamwazibu vikali sana katika uchaguzi huu na vibaka wenzie Ukawa

Kwenu hakuna wakubwa?
 
Amesema lowasa upo uchi kajivua nguo watanzani watamwazibu kwa utovu wa nidhamu kuvua nguo hadharani

Bora Lowasa aliyevua nguo tukamjua kuliko huyo magufuri ambaye bado kavaa nguo hatujui makovu yake yako wapi. Nape ataipata tu mwaka aiache sindano imuingie vizuri
 
Back
Top Bottom