VIDEO: Nape akiongelea hatua ya Lowassa kuhama Chama

VIDEO: Nape akiongelea hatua ya Lowassa kuhama Chama

Zuzu kuliko ww. Ww si ndiye ulikuwa ukisema dk slaa mzinzi mara amezeeka au mlemavu.huna jipya nenda ccm. Hufai cdm.
 
Huna akili.kabsa ww , kama unaweza kujadiri kauli ya Nape na kumpima Dr Slaa na msaliti ZT nyamaza sema kuhusu ujinga wenu huko mlianza kusema cdm itakufa ,mpk leo ipo mlisema upinzani yaani UKAWA hawatadumu kiko wapi sasa hivi unaanza kuleta ,,,,,,.us,,, ge wako kwenu
 
"Hatuwezi kuwa Chama cha kuendelea kuhubiri mabaya ya Jana na kushindwa kuongelea maendeleo ya kesho "-Freeman Mbowe. BYE BYE VITA YA UFISADI CHADEMA.
 
Vijembe vyaanza taratibu pale Nnauye kwa dharau CDM kwa kuwakejeli kumsajil lowasa na kumfanya kiongoz wao, binafsi naona upinzan ukipoteza mwelekeo na zaid baada ya kuthibitika slaa kukaa pemben daa mbowe ameweka tumbo mbele but itamcost, kuna mazuzu mengine kila asemalo mbowe wao n sawa lkn slaa kamkatalia. Pongez kwako slaa japo ulimuacha ZZK anyanyaswe namna ile hukuweka uwaz but na wewe yamekutokea; chama kinawenyewe bado Hawa...

wewe vuvuzela la nape.
 
Duh!! Nape kweli Vuvuzela picha hapo chini alikuwa anawapokea akina nani na kutoka wapi? na je wamemsaidia nini katika chama chake?

Kinachonifurahisha wanaohamia CHADEMA ni wanachama hai wa CCM lakini wale wanaohamia CCM huwa ni wale waliofukuzwa na CHADEMA kwa hiyo ni kundi lipi linapokea OIL CHAFU?

attachment.php

attachment.php
 
Vijembe vyaanza taratibu pale Nnauye kwa dharau CDM kwa kuwakejeli kumsajil lowasa na kumfanya kiongoz wao, binafsi naona upinzan ukipoteza mwelekeo na zaid baada ya kuthibitika slaa kukaa pemben daa mbowe ameweka tumbo mbele but itamcost, kuna mazuzu mengine kila asemalo mbowe wao n sawa lkn slaa kamkatalia. Pongez kwako slaa japo ulimuacha ZZK anyanyaswe namna ile hukuweka uwaz but na wewe yamekutokea

Mbowe kiboko yenu
 
ndugu nape mbona wewe ulipokosa ubungo mwaka 2010 , mwaka huu umekimbilia mtema? kamana wewe ni mvumilivu usinge hama jimbo na kwenda mtema ambako hata hawakujui na bado umewaibia wazawa
 
Wako wanaotaka uongozi na wako wanaotaka kuongoza watu.Sasa hapa bwana Lowassa anataka uongozi na ndio maana alipokosa fursa CCM akamnunua Mbowe na kuhamia CHADEMA.

Ni kweli tumeshazoea kununuliwa,kama tulivyonunuliwa na wachina kwenye gesi ya Watanzania wote kwa dhamana ya mtoto wa mtu mmoja tu kukamatwa na madawa ya kulevya kwani bila kufanya hivyo angenyongwa.Ni kawaida yetu hatuwezi kuacha tabia ya kununuliwa.
 
Duh!! Nape kweli Vuvuzela picha hapo chini alikuwa anawapokea akina nani na kutoka wapi? na je wamemsaidia nini katika chama chake?

Kinachonifurahisha wanaohamia CHADEMA ni wanachama hai wa CCM lakini wale wanaohamia CCM huwa ni wale waliofukuzwa na CHADEMA kwa hiyo ni kundi lipi linapokea OIL CHAFU?

attachment.php

attachment.php

OIL Chafu zimechujwa na kukatwa,ukiona mtu amekuja baada ya kukatwa ujue ni oil chafu ambaye haitakiwi huko ilipokatwa.
 
Wana jamvi heshima kwenu.
Naomba tujadili uimara wa chama chetu cha mapinduzi kwani viongozi wa juu wa chama changu wamekaririwa kwa nyakati tofauti wakisema ndani ya chama hakuna mpasuko na chama kipo imara.
Je,kinachotokea ndani ya chama ni kweli hakuna mpasuko?kwa mfano:
1.kuhama kwa makada wake
2.michakato ya wagombea ubunge na udiwani kugubikwa na rushwe,mizengwe na rafu za kila aina kwa maeneo mengi nchini.
My take:KWA AKILI NDOGO TU NA KWA MATUKIO YALIYOTOKEA NA YANAENDELEA KUTOKEA NDANI YA CHAMA YANAASHIRIA KUIMARIKA AU KUFA KWA CHAMA?
 
Ulitaka wasemeje? Ndo hivyo tena hata mwizi akikamatwa anaiba na uthibitisho upo anakataa, sijaibaaaaa!
 
Hivi viburi vya kujidai ni shwari ndo vinavyoua vyama vyenu....

Hata mtoto mdogo akifuatilia atajua CCM hakuko shwari na CDM is not the same

Japo wanatumia nguvu nyingi kubisha badala ya kukubali na kutumia hizo nguvu ku-address changamoto za ndani
 
Wakati akihojiwa na vyombo vya habari pale Lumumba alisema UKAWA wamechukua oil chafu engine itanoki tu, sasa hizi habari za kujiuzulu kwa Lipumba na kutoonekana kwa Dr.slaa ni dhahiri engine imeshaanza kugonga noki muda wowote inaweza zimika.

Bahati mbaya inataka kunoki kwenye katika ya mawimbi makubwa ya bahari.
 
Back
Top Bottom