More than 30 years yupo serikalini na hakuna lolote la maana alilofanya. Wazee kama yeye huwa wananishangaza sana.Alifanya nini wakati ni waziri na mkuu wa mkoa. Watu wanataka waone wenzie wanafanye juu ya matarajio wakati wao walifanya chini ya kiwango.
Anaweza akaeleza kitu achoacha hapa Tanzania hatatukamkumbuka?
Mbona unatuchanganya. Mzee si yupo Chadema au amesharudi ccmMzee Kingunge ni aina ya wale wazazi waliokuwa wanaongoza shuleni kila somo lakini cha kushangaza hawakupata elimu na kuishia madarasa ya awali kabisa, kila akizungumzia shule utamsikia enzi zangu mimi.
Yeye atakumbukwa kwa lipi kama waziri na mkuu wa zamani, na kiongozi mwandamizi wa chama chao kilichoasisi ufisadi Tanzania?
Mzee Kingunge hajawahi kuwa mshauri mzuri kuanzia kwa serikali aliyoitumikia tangu akiwa kijana na mpaka leo na chama chake cha zamani.
Katika watu wanaotakiwa kuomba radhi kwa Watanzania Mzee Kingunge yupo na CCM wote.
Taratibu za chama zimekiukwa 2015 je 1995 na 2005 hazijakiukwa? Au kwasababu kulikuwa na ujinga wao wa kuachiana ndio ikambidi avute subira?
Nchi hii ina uongozi mbovu ila Kingunge alikuwa mbovu zaidi kama kina Msukuma tu, kama ni ujasiri alikuwa wapi kina Mbowe, Maalim, Mbatia, Lipumba walipokuwa wanaichachafya ccm na kujiweka mstari wa mbele kwenye mapambano?
Kama umemsikiliza, kasema Elimu haikuwepo, asilimia 82% ya Watanganyia walikuwa hawajui kusoma na kuandika, waliwapa elimu asilimia 93% wakajua kusoma na kuandika.Alifanya nini wakati ni waziri na mkuu wa mkoa. Watu wanataka waone wenzie wanafanye juu ya matarajio wakati wao walifanya chini ya kiwango.
Anaweza akaeleza kitu achoacha hapa Tanzania hatatukamkumbuka?
Ni Kwasababu yupo Chama Pinzani"Huyo mzee kwisha kazi yake, hana hadhi ya kuongea chochote na kusikilizwa.
Kwa hiyo mzee wako ndo ana hadhi ya kuogea na kusikilizwa? Kama ndo hivyo mwambie aje aongee tumsikilizeHuyo mzee kwisha kazi yake, hana hadhi ya kuongea chochote na kusikilizwa.