VIDEO: Mzee Kingunge atoa tathmini kuhusu Miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika


J

jfamily

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2016
Messages
208
Points
250
Age
40
J

jfamily

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2016
208 250
Mzee Kingunge ni aina ya wale wazazi waliokuwa wanaongoza shuleni kila somo lakini cha kushangaza hawakupata elimu na kuishia madarasa ya awali kabisa, kila akizungumzia shule utamsikia enzi zangu mimi.

Yeye atakumbukwa kwa lipi kama waziri na mkuu wa zamani, na kiongozi mwandamizi wa chama chao kilichoasisi ufisadi Tanzania?

Mzee Kingunge hajawahi kuwa mshauri mzuri kuanzia kwa serikali aliyoitumikia tangu akiwa kijana na mpaka leo na chama chake cha zamani.

Katika watu wanaotakiwa kuomba radhi kwa Watanzania Mzee Kingunge yupo na CCM wote.

Taratibu za chama zimekiukwa 2015 je 1995 na 2005 hazijakiukwa? Au kwasababu kulikuwa na ujinga wao wa kuachiana ndio ikambidi avute subira?

Nchi hii ina uongozi mbovu ila Kingunge alikuwa mbovu zaidi kama kina Msukuma tu, kama ni ujasiri alikuwa wapi kina Mbowe, Maalim, Mbatia, Lipumba walipokuwa wanaichachafya ccm na kujiweka mstari wa mbele kwenye mapambano?
Huyu kingunge apimwe akili walizoea kufanya nchi kama yao ndiyo maana aliona ahamie chadema amfuate lowassa kukamilisha genge la kumuwezesha lowassa awe rais ili mambo yao yale ya kufisidi nchi hii yaendelee, inasikitisha sana kwa mzee kama huyu kutanguliza tumbo kuliko maslahi ya wanyonge ni upumbafu kabisa
 
M

m2020

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2016
Messages
919
Points
1,000
M

m2020

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2016
919 1,000
Huyu mzee simwamini kabisa. Kwa wale mnaomwamini poleni sana. Ni kati ya wazee waliokithiri kwa UNAFIKI Tanzania.
 
Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Messages
4,582
Points
2,000
Ufipa-Kinondoni

Ufipa-Kinondoni

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2012
4,582 2,000
Yaani leo ndo amekuwa mtetezi wa wanyonge wakati anatuibia Ubungo Terminal? Ninyi mkiona mtu anayesema ana damu ile chafu ya tamaa ya madaraka mnaona yuko sawa tu.

Huyu amehusika 100% kufikisha taifa hapa. Tangu Mwalimu hata JK amekuwepo leo ndo anaona kuvuta umaarufu wa kihuni uzeeni analea njaa zake.
Kama umemsikiliza, kasema Elimu haikuwepo, asilimia 82% ya Watanganyia walikuwa hawajui kusoma na kuandika, waliwapa elimu asilimia 93% wakajua kusoma na kuandika.

Unahoji walifanya nini, kwasababu wewe ni CCM mnajua mnavyo Fanya madudu ndio unapinga hadi ukweli!

Ujuaji wenu wa kutokutaka kushilikisha watu mnatuchelewesha,
 

Forum statistics

Threads 1,286,165
Members 494,879
Posts 30,886,146
Top