Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,252
- 24,089
Akiwa high table na vieiteKipindi hicho akila kuku kwa mrija wa kijani huku akiratibu na kubariki wizi, utekaji, udalali wa kisiasa.
Kuna watu wakiona hii video wanatamani wang'ate simu kwa hasira.
Mavi ya kale hayanukiKipindi hicho akila kuku kwa mrija wa kijani huku akiratibu na kubariki wizi, utekaji, udalali wa kisiasa.
Jasusi akimaliza kaz anakula mgao