Video : Mtanzania alie mfundisha Tupac kiswahili

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
19,349
Reaction score
36,300
Ni kutoka kwa Yule mwamba mwandishi wa kitabu " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP: Spiritual Meaning Of Each and Every word that comes from the mouth and voice of Tupac Shakur in the song Hit Em Up".

Mwandishi huyu ni Expert wa " The Sacred Art of Spiritual Languages" Na " The Art of Sacred Voxology.

Na by virtue of his knowledge and understanding of the Sacred Art of Spiritual Languages and the Art of Sacred Voxology, mwandishi huyu ana amini pasi na Shaka yoyote ile ( beyond any reasonable doubt) kwamba wakati Tupac yupo studio anarekodi wimbo " Hit Em Up" alikuwa possessed by a spiritual being. Na kwamba huyo spiritual being ndie haswa alie kuwa akiongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia sauti na midomo ya Tupac.

Kwa sababu hiyo sasa, mwandishi huyu ambae anasema ame ya study maisha na muziki wa Tupac Shakur na Biggie Smalls kwa takribani miaka 20, na ame u-study wimbo Hit Em Up kwa miaka 20, ameamua kuandika kitabu ambacho amekipa jina " SPIRITUAL ASPECT OF THE SONG HIT EM UP"

Kwenye kitabu hicho, mwandishi pamoja na Mambo mengine, anafanya Mambo makuu mawili :

1. Ana anatumia taaluma yake tajwa hapo juu kuprove beyond any reasonable doubt kwamba wakati Tupac Shakur yupo studio ana rekodi wimbo Hit Em Up alikuwa possessed by a spiritual being na kwamba ukiondoa maneno 25 pekee, maneno yote unayo yasikia kutoka kwenye sauti na midomo ya Tupac kwenye wimbo Hit Em Up, ni maneno ya kiumbe huyo wa kiroho kupitia sauti na midomo ya Tupac.

2. Ana toa tasfiri na maana halisi ya kiroho ya kila neno ambalo linatoka kwenye kinywa cha Tupac kwenye wimbo Hit Em Up.

BACK TO THE TOPIC

Mwaka 1996, Tupac alitoa wimbo uitwao " TROUBLESOME 96". Kwenye wimbo huo, Tupac said something very interestingly about Kiswahili.

Mwandishi anauliza swali?

1. WHO TAUGHT PAC SWAHILI?

2. WHERE HE TAUGHT PAC SWAHILI?

3. WHEN HE TAUGHT PAC SWAHILI?

4. HOW HE TAUGHT PAC SWAHILI?

5. WHY PAC LEARN SWAHILI?

The answers are in this video here👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇

View: https://youtube.com/watch?v=Xkpic6kDiiY&si=cNCITDzBJ3HWtKCD
 
Habemus papam!
Habemus papam!!
Habemus papam!!!
 
Umepost ngoma kali sana.
 
Swali ni kwamba yeye ame proove vp hizo spiritual aspect Pac alizo kua nazo?Ni mechanism gani katumia kutuaminisha?
 
Back
Top Bottom