VIDEO - Mpambe wa Bwana Harusi Anapojiiba na Bi Harusi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

VIDEO - Mpambe wa Bwana Harusi Anapojiiba na Bi Harusi

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MziziMkavu, Nov 29, 2009.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,613
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Friday, November 27, 2009 3:00 PM
  Kamera za ulinzi nchini Marekani zimemnasa live mwanamke mmoja ambaye aliamua kuisaliti ndoa yake na mpambe wa bi harusi dakika chache kabla ya kukata keki ya harusi. Mwanamke huyo bila hata aibu huku akiwa amevaa shela la harusi, alionyesha kutokuwa na muaminifu wa ndoa yake hata kabla ya sherehe za harusi kumalizika kwa kujivinjari na mpambe wa bwana harusi (Best Man).

  Kamera za ulinzi za ukumbi ambao harusi hiyo ilifanyika zilimwonyesha mwanamke huyo akiwa na mpambe wa bwana harusi wakibusiana na kukumbatiana wakiamini kuwa sehemu waliyojificha hakuna mtu anayewaona.

  Baada ya kuona bwana harusi anakuja kwa mbali, waliacha mchezo wao na mwanamke huyo alirudi kwa mchumba wake na kuendelea na taratibu zingine za harusi kama vile hakuna kitu kinachoendelea.

  Chini ni VIDEO ya tukio hilo.


  VIDEO - Bi Harusi Anapojiiba na Best Man
  bonyeza hapa kuiona hiyo video
  http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=3628498&&Cat=2
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,383
  Likes Received: 5,668
  Trophy Points: 280
  tutajuaje huyo ndio alikuwa bwana harusi????
   
 3. K

  Kijamani Senior Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 10, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Picha haionekani
   
Loading...