Video: Mpambano mkali kati ya mbwa na bata

Bata alikua kamaindi na alikua yuko kivita, mbwa akawa anachukulia mzaha kama vile wanacheza. Mbwa hakuichukulia kama vita.

Ila huyo bata kauzu kishenzi. Nikipata mbegu yake huyo ntafurahi sana.
 
Niliwahi kuambiwa kuwa hata mbwa awe mkali au mbabe kama sijui dubwasha gani kwa bata lazima asepe...
 
Bata alikua kamaindi na alikua yuko kivita, mbwa akawa anachukulia mzaha kama vile wanacheza. Mbwa hakuichukulia kama vita.

Ila huyo bata kauzu kishenzi. Nikipata mbegu yake huyo ntafurahi sana.

Furaha yako itaisha siku akimtimua mkeo mile 20 mbali na nyumbani. Hapo utaomba mbegu ya mbwa asiye na mzaha
 
Bata alikua kamaindi na alikua yuko kivita, mbwa akawa anachukulia mzaha kama vile wanacheza. Mbwa hakuichukulia kama vita.

Ila huyo bata kauzu kishenzi. Nikipata mbegu yake huyo ntafurahi sana.
Mkuu hiyo mbegu si nzur, inaweza kufika sikukuu akakudinda achinjwi mtu hapa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom