Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,105
Nilivyoona mbwa ni mtiifu sana kwa mwajili wake,bata kaona ujiko sana mbwa alipokimbia mala ya kwanza,kapewa ngeta ya ukweli moja tu kasingizia kafa ili mchezo uishe.
Hizo story tu. Kuna mbwa wanakula bata kichizi
Kama hivi.....hahaaa, mbwa wanakula bata?[emoji3] [emoji38]
Mkuu tupo ktk mfungo
RAMADHAN KARIM MkuuMkuu tupo ktk mfungo
Daah huuu ni udambu udambu mkuuuu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
duuh mambo yangu haya.
Hachinjwi mtu tena....!?.Mkuu hiyo mbegu si nzur, inaweza kufika sikukuu akakudinda achinjwi mtu hapa..
Hizo sahani mbili zenye ndizi Na hiyo ya mwisho yenye ugali vitakuletea ugomvi hapa
hahaahahaah, hapo kwenye ngeta hapo mkuu.....Nilivyoona mbwa ni mtiifu sana kwa mwajili wake,bata kaona ujiko sana mbwa alipokimbia mala ya kwanza,kapewa ngeta ya ukweli moja tu kasingizia kafa ili mchezo uishe.