Video: Mawakili waishangaa Polisi kwa Lissu na dereva wake kutohojiwa; wadai wanaweza kuhojiwa hata kwa kutumia teknolojia ya mawasiliano

Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.

Aah, unataka kumwona na anavyovuta pumzi siyo.....you call physical presence??

Maana yake unapingana na sheria na kama kawaida ya ujinga wenu, mnataka kutumia hisia zenu na mawazo yenu kuwa ndiyo sheria!!

If what you want is just "physical presence" na usikie mihemo ya mtu, then why didn't you do when he was at Dodoma hospital or Nairobi? And why are you not doing now because he's in Brussels, Belgium?

Ulivyo "mjinga", waweza kusema hatuwezi kupoteza fedha (kana kwamba ni pesa za baba zenu na mama zenu) kwenda huko lakini wakati huohuo mnataka yeye apoteze fedha yake kuwafuata watu wasiojua wajibu wao eti.... njoo kuhojiwa!!
 
Ndo wanashtuka saa hii!
Kweli hii ni danganyika..
Watu makini na nchi zilizo makini kwenye matukio kama haya huwa wana yale masaa 48 ya kuweka kila kitu cha tukio katika hali inayoeleweka, sio bongo muda mrefu umepita wanapiga porojo, inatakiwa waangalie crime scenes za nchi zilizo mbele kwenye intelijensia,investigation na criminal issues.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tusidanganyane hapa polisi waitafute na kuipata silaha iliyotumika kufanya uhalifu, hili sio jukumu la victim. Kwasababu hata iwe vipi wana tabia ya kusema aliumizwa na kitu chenye ncha kali! Mbona wakiwakamata majambazi huwa wanaonyesha silaha? Kwahiyo Lissu na dereva wake walitoroka na bunduki iliyomshambulia? Hawataki kwenda Nairobi au Belgium kwakuwa itabidi waje na ripoti za madaktari inayoeleza majeraha ya Lissu yalisababishwa na nini, kisha risasi zilizotolewa mwilini mwa Lissu nazo zinaweza kutumika kuipata bunduki. Hapo ndipo pagumu kwa wahusika.
 
Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.
Acha ujinga wako, kuvuta pumzi? Ujinga gani Unaongea? Sasa Wameshindwaje kwenda kumhoji ili wamuone akivuta pumzi?? Ujinga mtupu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa teknoloji haiwezekan sasa wakitaka kumbinya mambupu watatumia drone au?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.
Wew jinga hujui sheria kaa kimya.
 
Harafu bila aibu anaenda anapiga magoti kupokea sakramenti kichefu chefu mkubwa ,I hate the guy
hata mimi huwa nashangaa jamani ....hivi ina maana makanisa hayafahamu ushetani wa huyu jamani
 
Inaonesha umezaliwa miaka ya 2000 wewe asee, kwanza nijibu unijua y2k?
 
Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.
Wewe upo dunia gani?unaweza kuhojiwa ana kwa ana,na ukadanganya,ujawahi sikia watu wanaoweza kuidanganya hats POLLYGRAPH,?!!
Iwe Karibu au mbali,tekinolojia inawezesha makachero kutambua ukweli na uongo!!
Hatuko mwaka 47!!!
Maofisa wa ubalozi ubeligiji,walimtembelea Lisu Hospitali,kwanini hakukaribishwa ubalozini ahojiwe?akiiingia tu ubalozini,ni sawa kama yupo hapa nyumbani!
Hawataki kuhoji,kwa sababu vijana mliowatuma,waliburunda kazi waliyopewa,hawakuwa professionals,
Eti utasikia Mfanyabiashara kawapiga risasi maofisa wa TISS!kweli?!!ofisa wa TISS anapigwaje risasi na RAIA?mnatuma maofisa saba kumkamata MTU mmoja!!!tena mchana,wanashindwa,wanaokolewa na polisi!!
Haya ni mazwazwa yaliyopewa ajira kindugu tu,hayajuhi chochote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna haraka atahojiwa uso kwa uso akiwa na pingu
Pingu za nini tena?Yeye ndiye mhalifu?
Wewe ni kati ya wanaoamini kuwa alijishambulia au chama chake kilimshambulia?Tuwe waungwana kwa kutokupotosha mambo kwa kutoa hoja na utetezi wa ovyo jinsi huu.
 
Mbona hao ndio walimwambia lisu uwepo wa hiyo sheria. Hao mawakili wanatoka kwenye kampuni tanzu ya chadema hivyo mawazo yao yanafanana.
Dereva hakuumia polisi ilipomuhitaji kuja kuisaidia kwa kutoa maelezo.
Nani asiyekumbuka mahojiano ya msigwa na lema huko Kenya kuwa dereva hawezi kwenda kuhojiwa na polisi kwani angeteswa.
Sheria hiyo ilitungwa kuisaidia polisi kufanya kazi. Hakuna mazingira ya kumzuia dereva kuja kuandika maelezo. Kwa kuweka masharti hayo ni sawa na kugoma kushirikiana na jeshi la polisi. Kwakuwa aliyetendewa ndiye hataki kuhudumiwa polisi haiwezi kulazimisha. Kama kungekuwa na waathirika wengine zaidi yao hatua zote zingechukuliwa. Kwasasa ni kuvuja kwa pakacha nafuu kwa mchukuzi
 
Walijua anakufa yaan hawakuwa na plan b
 
Mnaamua kumtoa dereva na maelezo mpaka mtakapotaka nyinyi nasio polisi,mbona kipindikile cha nyuma mlikuwa hamji na hoja kama hizi? Mmejichelewesha mpaka ushahidi unaanza kupotea ndio mnakuja na usaka wenu, Acheni ulofa nyie chadema tumechoka na maigizo yenu ya futuhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…