The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Sijawahi ona au sikia mtu anahojiwa kienyeji namna hii.
Umapomuhoji mtu, physical presence, kuongea nae face to face na kumsikia hata anavyovuta pumzi ni muhimu zaidi. Kwenye video conference au njia nyingine hupati true coorperation.
Aah, unataka kumwona na anavyovuta pumzi siyo.....you call physical presence??
Maana yake unapingana na sheria na kama kawaida ya ujinga wenu, mnataka kutumia hisia zenu na mawazo yenu kuwa ndiyo sheria!!
If what you want is just "physical presence" na usikie mihemo ya mtu, then why didn't you do when he was at Dodoma hospital or Nairobi? And why are you not doing now because he's in Brussels, Belgium?
Ulivyo "mjinga", waweza kusema hatuwezi kupoteza fedha (kana kwamba ni pesa za baba zenu na mama zenu) kwenda huko lakini wakati huohuo mnataka yeye apoteze fedha yake kuwafuata watu wasiojua wajibu wao eti.... njoo kuhojiwa!!