Filipo Lubua
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 339
- 579
mbona groom ni mtoto mdogo,jamani this is dangerous oooh my Lord
kweli chini hapana utoto,ila tusali sana hali ni mbaya kupita maelezoNi mdogo lakini mambo yake makubwa na kajaaliwa uwemba...!!!
....
Mungu ainusuru Afrika.....
Ndoa hii imepata baraka za wazazi na imefungwa mbele ya umati mkubwa wa watu.
Mungu ainusuru Afrika, sijui kizazi cha miaka thelathini ijayo kitakuwaje ikiwa mambo yamekuwa hivi tangu sasa.
<a onclick="_gaq.push(['_trackEvent', 'Outgoing', 'www.youtube.com', '/watch?feature=player_embedded& v=1ZLB9Y7lPw8']);" rel="nofollow" href="https://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded& v=1ZLB9Y7lPw8#!" target="_blank">
Sikujua kwamba waafrika (na ngozi nyeusi kwa ujumla) ni ''race'' ya watakatifu.
kweli chini hapana utoto,ila tusali sana hali ni mbaya kupita maelezo
Haya yote hayana budi kutokea...maana yote yalitabiriwa kama ni ishara ya kurudi kwake.
umejiandaa vipi thatha.
Toka mwanzo tumekuwa tunasikia wanawake na watoto kuuawa au kuuzwa kama
Mbuzi, watu kuchinjana kama wanyama kila kukicha, kulipuana bila sababu za msingi. Dunia bado haijaisha. ila watu wawili kupendana na kutaka kuishi pamoja ni ishara kuwa dunia imekwisha?
mbona groom ni mtoto mdogo,jamani this is dangerous oooh my Lord
heeeee HoneyBee una maana gani kwa hili, au na wewe ni wa dizaini hii? mhhh haya bwana ila nahisi na wewe unapumuliwa kisogo vile