Video: Marehemu afufuka baada ya miaka 14

Acha kuleta story za uongo. Hapo gamboshi napafaham vizuri. Ni kijiji kama vijiji vingine. Hayo mambo ya uchawi ni story za kusadikika tu. Niliwahi uliza wazee wa huko wakasema hata wao wanasikiaga tu kuwa zamani kulikuwa na wachawi.

Hizi story zipo sana hata huko ukerewe. Unaambiwa jani likiangukia ziwani linakuwa mamba. Sasa uliza wazee utasikia wanasema hata wao wanasimuliwaga tu
 
Mshana Jr anasemaje juu ya misukule wabishi walioshindikana kwa walio wachukua?
 
Acha kuleta story za uongo. Hapo gamboshi napafaham vizuri. Ni kijiji kama vijiji vingine. Hayo mambo ya uchawi ni story za kusadikika tu. Niliwahi uliza wazee wa huko wakasema hata wao wanasikiaga tu kuwa zamani kulikuwa na wachawi.

Hizi story zipo sana hata huko ukerewe. Unaambiwa jani likiangukia ziwani linakuwa mamba. Sasa uliza wazee utasikia wanasema hata wao wanasimuliwaga tu
Msiwe wabishi uchawi upoo na nyie mnao kataa muwe waelewa

Haya biblia inasema hivi

Ufunuo 22:15 inasema hivi Huko nje wako mbwa, WACHAWI, na wazinzi, na wajuaji, na hao waabuduo sanamu , na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.

Sasa kama na biblia imekataa wachawi jua kuna dunia ipo ila hujui matendo yao.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Hajawahi kufa mtu akafufuka,
Tokea uzaliwe, au tokea watu waanze kuishi chini ya jua?

Kama ni tokea uzaliwe, nakubali. Kama ni tokea wanadamu tuwepo duniani, nina mashaka na kauli yako, maana huenda hata miaka 100 hujafikisha, ya maelfu ya miaka uliyaona vipi mpaka uje na hitimisho hilo?
 
Hapo kuna watu wanatengenezewa mazingira ya kupigwa,utasikia kuna Mganga fulani ndio kamfufua,halafu mijitu itasombana ili nayo iende kufanyiwa miujiza! Au kupewa utajiri!

Ukisha kufa hakuna kurudi tena.
 
Msiwe wabishi uchawi upoo na nyie mnao kataa muwe waelewa

Haya biblia inasema hivi

Ufunuo 22:15 inasema hivi Huko nje wako mbwa, WACHAWI, na wazinzi, na wajuaji, na hao waabuduo sanamu , na kila mtu apendaye uongo na kuufanya.

Sasa kama na biblia imekataa wachawi jua kuna dunia ipo ila hujui matendo yao.

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
Kwani kuna sehemu nimesema uchawi haupo? Nilichosema ni kuwa acheni kuleta story za uongo, OVER
 
Hapo kuna watu wanatengenezewa mazingira ya kupigwa,utasikia kuna Mganga fulani ndio kamfufua,halafu mijitu itasombana ili nayo iende kufanyiwa miujiza! Au kupewa utajiri!

Ukisha kufa hakuna kurudi tena.
Huyo hajafa ila alifanyiwa mazingaombwe tu na hiyo teknolojia ipo sana Afrika ila kwa watu wanaoamini teknolojia ya kizungu hawawezi kuamini kama wewe mpaka yakupate ndiyo utaamini.
 
Hapo kuna watu wanatengenezewa mazingira ya kupigwa,utasikia kuna Mganga fulani ndio kamfufua,halafu mijitu itasombana ili nayo iende kufanyiwa miujiza! Au kupewa utajiri!

Ukisha kufa hakuna kurudi tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom