Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

Wavimbe Wapasuke #NIYEYE

#LISSURAIS2020 ✌🏽✌🏽✌🏽✌🏽💪🏽💪🏽💪🏽💪🏽
 
Hii Nissan patrol nyeupe sindio waliituhumu ndio waliomshambulia? Mkiwa waongo muwe na kumbukumbu
Ukiwa na mwanamke mweupe akakutenda katika ujana wako Basi baadae ukapata mwingine mweupe hutakiwi kumuoa hata Kama Unaona anakufaa? Sioni mantiki ya unacholinganisha hapa. Mmchanganyikiwa? Sasa huyo baba yenu katili ana Hali Gani ikiwa ninyi mko hivi?
 
Back
Top Bottom