mtwangu
Member
- Jun 22, 2012
- 40
- 16
Fanyia kazi ya kutuambia specific place kilipo hicho kisima...maana kuna watu wako huko lkn hawakijui
Hadi sasa nimeshauliza watu wawili wakazi wa Kifanya wanasema hicho kisima hakuna au may be ni kipya/cha hivi karibuni kwa watu wa hapo hajui kipo wapi!
Pia hiyo sio gesi ni volcano hiyo