Sasa mleta uzi atakuwa kakipata wapi?Mimi natoka kijiji cha Kifanya Njombe hakuna mto kama huo.
Kwa hiyo ulipotumiwa nawe ukakurupuka kutuma bila hata kujiuliza kama kuna ka ukweli... acha hizo wewe.Nami nimetumiwa nimeambiwa ipo Kifanya mkoani njombe, lakini kila nikiwauliza Kifanya Sehemu gani hawanipi jibu, Mlioko Kifanya ndio inabidi mukitafute hicho Kisima Kama kweli Kipo Kifanya hapo.
Nimependa huu mchango wako ila naomba udadavue kiundani zaidi Mkuu
Hahahahaaaaaa unyhia wahugela habisaUdesi udesi beeh!
Vivutio au uchawi?!Tanzania ni nchi iliyo na vivutio vingi lakini sijui ndo hatujui kuvitumia!