CCM yeteka kwa mabavu ofisi za CHADEMA Rombo

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,899
IMG-20190330-WA0032.jpg

Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi kuua wanaCHADEMA wote kama sio kuwafunga.

Huko Rombo mkoani Kilimanjaro kundi la vijana wa UVCCM wakiratibiwa na viongozi wao wameamua kuzipoka ofisi za CHADEMA bila woga na kupaka rangi za CCM huku kukiwa na ulinzi, kwamba asiwepo CHADEMA KUSOGEA.

Naona vile CCM wamechoshwa na amani ya nchi hii, na hata haya yanavyotendeka husikii viongozi wakuu wa kiserikali wala kiulinzi wala kichama CCM wakikemea zaidi sana wanayafukizia mafuta ya petrol na kuyaita matendo ya kizalendo.

Taifa linazidi kupasuka pasuka, hii ni hatari ya kesho kwa taifa letu. Siku zozote CCM inapaswa kubeba lawama
 
View attachment 1057933

Nsajili anasemaje hapo, hajawaandikia barua kuifuta ccm?
 
Na CCM ikipewa siku 14 kujieleza kwanini kisifutiwe usajili wa kudumu, nitashawishika kuamini kweli ei sii tii walivunja sheria. La sivyo ni huu ni uhuni ambao mda si mrefu utatughalimu hata waanzishaji wake
utawaghalimu kwa namna moja au nyingine.
Hawa jamaa matendo yao kwa kweli ni yale yale ya INTARAHAMWE
na kibaya zaidi siku zote huwa hawajifunzi kutokana na makosa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1057933

Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi kuua wanaCHADEMA wote kama sio kuwafunga.

Huko Rombo mkoani Kilimanjaro kundi la vijana wa UVCCM wakiratibiwa na viongozi wao wameamua kuzipoka ofisi za CHADEMA bila woga na kupaka rangi za CCM huku kukiwa na ulinzi, kwamba asiwepo CHADEMA KUSOGEA.

Naona vile CCM wamechoshwa na amani ya nchi hii, na hata haya yanavyotendeka husikii viongozi wakuu wa kiserikali wala kiulinzi wala kichama CCM wakikemea zaidi sana wanayafukizia mafuta ya petrol na kuyaita matendo ya kizalendo.

Taifa linazidi kupasuka pasuka, hii ni hatari ya kesho kwa taifa letu. Siku zozote CCM inapaswa kubeba lawama
Hao watakuwa ni Chadema wenyewe.......kule uchagani ofisi za Chadema zinaheshimiwa na watu " wote " kama kanisa vile hakuna wakuweza kuzitendea uovu!
 
View attachment 1057933

Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi kuua wanaCHADEMA wote kama sio kuwafunga.

Huko Rombo mkoani Kilimanjaro kundi la vijana wa UVCCM wakiratibiwa na viongozi wao wameamua kuzipoka ofisi za CHADEMA bila woga na kupaka rangi za CCM huku kukiwa na ulinzi, kwamba asiwepo CHADEMA KUSOGEA.

Naona vile CCM wamechoshwa na amani ya nchi hii, na hata haya yanavyotendeka husikii viongozi wakuu wa kiserikali wala kiulinzi wala kichama CCM wakikemea zaidi sana wanayafukizia mafuta ya petrol na kuyaita matendo ya kizalendo.

Taifa linazidi kupasuka pasuka, hii ni hatari ya kesho kwa taifa letu. Siku zozote CCM inapaswa kubeba lawama
Kamuone Jaji Mutungi fasta
 
Kwanza lile sakata la ACT msajili ange2mia hekima kulko kusema aliyoyasema au la siivyo km hii taarifa n ya kwel bas waandikiwa barua na wao CCM wajitetee kwa sabu na wao ni chama cha Siasa co miungu wa2....
 
View attachment 1057933

Hii ndio hali ya utawala wa shari, mabavu na wenye kukusudia kuchafua amani ya Tanzania tulivu hata kama ina umasikini na ujinga ila utulivu ulikua kiunganishi kwetu. Lakini cha ajabu umasikini hawajaondoa, ujinga hawajauondoa, wanapamnana kuiondoa CHADEMA kwa shari, kwa vita kwa fujo na ikibidi kuua wanaCHADEMA wote kama sio kuwafunga.

Huko Rombo mkoani Kilimanjaro kundi la vijana wa UVCCM wakiratibiwa na viongozi wao wameamua kuzipoka ofisi za CHADEMA bila woga na kupaka rangi za CCM huku kukiwa na ulinzi, kwamba asiwepo CHADEMA KUSOGEA.

Naona vile CCM wamechoshwa na amani ya nchi hii, na hata haya yanavyotendeka husikii viongozi wakuu wa kiserikali wala kiulinzi wala kichama CCM wakikemea zaidi sana wanayafukizia mafuta ya petrol na kuyaita matendo ya kizalendo.

Taifa linazidi kupasuka pasuka, hii ni hatari ya kesho kwa taifa letu. Siku zozote CCM inapaswa kubeba lawama

Msajili si alisema atakifuti usajili chama kitakacho leta vurugu?
ACT waliandikiwa barua, labda ni CCm wataandikiwa barua
 
Jeshi la polisi halipo??? Au kazi ya jeshi la polio ni ipi??, kuvamia ofisi si ni kosa? Chadema Rombo wametoa taarifa kwa polisi ili kama ni ccm wakamatwa na kama sio ccm wakamatwe kusaidia.
 
Nimeshangaa kuona baadhi ya Watanzania/wanaCHADEMA wakizifunga ofisi za CHADEMA na kufuta nembo ya maandishi yanayokitambulisha CHADEMA kwenye kuta za nyumba.

Kinaendelea kitu gani nchini mpaka ofisi za CHADEMA zinafungwa na kufutwa maandishi yanayokitambulisha ukutani?

Kilichonishangaza zaidi haya yanatokea katika jimbo la Rombo mkoani Kilimanjaro kama ambavyo wahusika wanajitambulisha.

Video ya tukio
 
Back
Top Bottom