Video: Kwa raha zake ex-RC Chalamila anachangamsha damu

Aisee huyo mtu Chalamilla ndiye unasema anaupeo kubwa na anaushawishi???? Aisee unamatatizo ya AKILI wewe huyu mtu ukimtazama tu unamuona huyopo sawa kabisa kiakili na hafai hata kuwa kiongoze wa familia.
Ndugu ambaye wewe hauna matatizo ya akili naongelea upande mmoja unaoufahamu wewe kumhusu, mapungufu anayo na mazuri anayo pia.
 
Ndugu ambaye wewe hauna matatizo ya akili naongelea upande mmoja unaoufahamu wewe kumhusu, mapungufu anayo na mazuri anayo pia.
Huyo mtu ni MAJUNUNI kwahiyo kuwa mtu MAJUNUNI siolazima avue nguo ndio ujue Majununi.

Na kupa mfano mdogo sn kwa kauli zake ambazo zime Approved kama this guy is Lunatics ( "Mimi nilikuwa najua kwamba RAIS aliye kuwa madarakani huwa HAFI")
 
Ni vizuri katika majukumu yoyote uwe flexible,hasa hizi kazi za uteuzi,ili chochote kikitokea kisilete madhara ya kimwili na kiroho...
 
Back
Top Bottom