DAH! Jamaa ameonge pumba sanaSaa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anawakashifu wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
You Made my day asee,umenifurahisha sana mkuu.Saa zingine Mungu akikupa kitu anakua anakupima... Sasa huyu bwana yeye ni Mweusi , mama'ke ni mweusi, baba'ke ni mweusi lkn bado anawakashifu wanaozaa watoto weusi - afu anacheka kwa kebehi. Shame!!
Kwahiyo ana maanisha kina Tee Dangote na Nilam ni ushuzi?! Mpe masikini kitu uone tako lake litakavyolia.
Hovyo kabisaa.