Mangi flani hivi
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 2,026
- 3,100
Ndo yeye, wakati namaliza pale UD alikuwa waziri wa mikopo.... Kidogo nikasikia amepata ajira Kama wakala wa bodi pale UD. Leo anaongea Kama estate manager.... Lol!!! Usimwamini mtu. Leta upupu.Njaaa mbaya sana manina,huyu sio Josephat Buhenyenge?Kama ni yeye mnijibu nije nimwage upupu hapa
Mwaga upupu tuNjaaa mbaya sana manina,huyu sio Josephat Buhenyenge?Kama ni yeye mnijibu nije nimwage upupu hapa
Tukagueni vyeti vya meneja;
Huyu alisomea ualimu na Kama sikosei ni wa masomo ya Sanaa.... Hamna kitu anajua kuhusu construction.Wasomi wa bongo waliopo serikalini mimi siwaelewi,ukienda nchi zingine kama marekani au hata kenya hii issue ingekua imetokea kwao wangetoa majibu mazuri mpka mtu usiye na idea ya ujenzi unaelewa sasa majibu ya wasomi wetu ya ki kanjanja
niyeyeNjaaa mbaya sana manina,huyu sio Josephat Buhenyenge?Kama ni yeye mnijibu nije nimwage upupu hapa
Ndio ni wa Sanaa tena ile sanaa ya kujifunga kaniki na kunengua,angekaa kimya asubiri wenye fani yao walete majibu,sasa huyu anajibu kama alivyo jibu - hatuombei na wala hatupendi iwehivyo mara puuuuu vijana wetu chali siataonekana nguvaHuyu alisomea ualimu na Kama sikosei ni wa masomo ya Sanaa.... Hamna kitu anajua kuhusu construction.
WaMarekani licha ya kuwa na vipindi vya baridi Kali na joto kali, nyufa ni mwiko, na ikitokea kampuni litakiona cha mtema kuni kwa dola watakazolipa na ukarabati juu. Pengine ikawa mwisho (kifo) cha hiyo kampuni, kwani hamna atakayewapa tenda wababaishi.Wasomi wa bongo waliopo serikalini mimi siwaelewi,ukienda nchi zingine kama marekani au hata kenya hii issue ingekua imetokea kwao wangetoa majibu mazuri mpka mtu usiye na idea ya ujenzi unaelewa sasa majibu ya wasomi wetu ya ki kanjanja