VIDEO: Kilichotokea Chuo cha Uhasibu Arusha, Lema alivyowatuliza wanachuo

Uwiiii huyu mkuu wa mkoa amesema mmetaka kuonana na serikali na ameenda hakusema kitu, bali kurushia wanafunzi mabomu yanayotoa moshi. Uwiii ona walivyokimbia wassiumie au kufa

mapolisi, ffu wamejaa kibao utadhani kuna fujo na walikuwa wametulia wanafunzi wanasubiri kusikiliza anasema nini

jk nchi imekushinda kwa kweli hata wanafunzi,

mungu tuepushe vita nchini, naona mnataka kuua wananchi na kuwa mashujaa huyo mkuu wa mkoa ulimtoa wapi ameenda anaongea na hasira sanaaa kama anataka kupasuka.

Aibu sana serikali.

Mbona jk hasemi chochote kwa majanga ya hawa watu wake?

Sijawahi kusema maneno haya ila shame on you mkuu wa mkoa. Achia kazi haikuwezi

poleni wanafunzi. Hii ni video ya pili, nisingeangalia nisingedsema haya yote

uwiiiiii, what?????? Just like that??????
 
Nimeamua kuweka video hapa ili watanzania muweze kuamua kama kweli Mhe. Lema alihusika na mauwaji na kuchochea vurugu chuo cha uhasibu Arusha kama mkuu wa Mkoa wa Arusha (Mulongo) anavyodai.
Part I
[video=youtube_share;_z-Cl4nNva0]http://youtu.be/_z-Cl4nNva0[/video]

Part II
[video=youtube_share;Y1Zy44AokSw]http://youtu.be/Y1Zy44AokSw[/video]

Poa sana kitu kimefunguka hapa jamaa kawamaliza kabisa Mulugo kilaza sana tu
 
Nimeiona mwanzo mwisho. Lema ni kiongozi aliyekubalika. Mkuu wa Mkoa ni janga
 
hapo umewabamba mkuu kila kitu chajieleza na wanaumbuka sasa
Wenzako wote video haifunguki wewe umeibuka na kutema kauli zako tata!! na mapovu tu humu. Au umetumwa? Mbona hueleweki? Kuwa serious ndugu acha uongo..Huku ni kwa Magreat thinker. Uongo peleka facebook sio humu..Au wewe una link yako nyumbani.?
 
mkuu wa mkoa wa ajabu sana, badala ya kuja na solution yeye kaja na nyodo
 
Nimeiona mwanzo mwisho. Lema ni kiongozi aliyekubalika. Mkuu wa Mkoa jamani punguza madaaharau, body language yako inaonyesha jinsi ulivyoidharau hii jumuia. Hivi ndivyo ulivyo? Why are you there?
 
Wenzako wote video haifunguki wewe umeibuka na kutema kauli zako tata!! na mapovu tu humu. Au umetumwa? Mbona hueleweki? Kuwa serious ndugu acha uongo..Huku ni kwa Magreat thinker. Uongo peleka facebook sio humu..Au wewe una link yako nyumbani.?
Mbona mi naicheki vizuri tu tena kwenye simu?
 
Hii video imemuumbua Lema. Kwa hakika hapa Lema hakwepi. Ni wazi kwamba alichochea vurugu, na amemdharau mkuu wa mkoa.

Kwanini yeye asingeacha hayo maneno yasemwe na mkuu wa mkoa mwenyewe? Haya bwana ameyatafuta mwenyewe. Mwanzoni alifanya vizuri sana na ameongea maneno ya msingi sana. Lakini kuanzia baada ya mkuu wa mkoa kufika, Lema hakupaswa kuendelea kuwa msemaji tena.

Kwa busara za kawaida kabisa, alipaswa amuachie mkuu wa shule na mkuu wa mkoa waseme wanayotaka, lakini kitendo cha kusimama na kuwatangazia alichokisema mkuu wa mkoa na kuwatamkia wanafunzi kwamba hawa ndiyo aina ya viongozi tulionao na nini ambacho mkuu wa mkoa alipaswa kufanya hakikuwa sawa kabisa. Kwanza alipaswa aheshimu uamuzi wa mkuu wa mkoa kufika eneo la tukio.

Katika hili sitaweza kumtetea Lema. Amelikoroga.
 
Uwiiii huyu mkuu wa mkoa amesema mmetaka kuonana na serikali na ameenda hakusema kitu, bali kurushia wanafunzi mabomu yanayotoa moshi. Uwiii ona walivyokimbia wassiumie au kufa

mapolisi, ffu wamejaa kibao utadhani kuna fujo na walikuwa wametulia wanafunzi wanasubiri kusikiliza anasema nini

jk nchi imekushinda kwa kweli hata wanafunzi,

mungu tuepushe vita nchini, naona mnataka kuua wananchi na kuwa mashujaa huyo mkuu wa mkoa ulimtoa wapi ameenda anaongea na hasira sanaaa kama anataka kupasuka.

Aibu sana serikali.

Mbona jk hasemi chochote kwa majanga ya hawa watu wake?

Sijawahi kusema maneno haya ila shame on you mkuu wa mkoa. Achia kazi haikuwezi

poleni wanafunzi. Hii ni video ya pili, nisingeangalia nisingedsema haya yote

uwiiiiii, what?????? Just like that??????
Usiogope. amini kuwa kila kwenye vita MUNGU yupo upande wa haki
 
Kwanza hakukuwa na fujo zinazostahili kutulizwa kwa mabomu ya machozi
Pili, hakukuwa na onyo la kuwataka wanachuo wakusanyike kama sheria inavyowataka polisi kufanya kabla hawajaanza kutumia Nguvu
Tatu, wanachauo hawakukaidi amri yoyote halali iliyotolewa na jeshi la polisi kuanza kuadhibiwa au kutawanywa kwa mabomu
Nne, Polisi hawakutumia njia yoyote mbadala kama maji, au kuwasukuma wanachuo kabla hawajatumia mabomu
Tano, wanachuo ambao walijisalimisha wenyewe walichukuliwa kama ndio waliokuwa wanaleta fujo na kupakiwa kwenye garandinga za polisi
Sita, wanachuo walipigwa hata pale ambapo hakufanya fujo hata walipokuwa mikononi mwa Polisi
Saba, wanachuo hawakuwa na hata maji au vitambaa vya kufunika usoni, walikamatwa Una aware hii inaonyesha wanachuo hata walipoona Jeshi la Polisi (FFU) hawakutarajia kuwa wangefikia sehemu ya kupigana mabomu na risasi
Nane, kutokana na wanachuo kutokuwa na vifaa inaonyesha jinsi ambavyo walihitaji mazungumzo zaidi kuliko kutumia Nguvu

OMBI: Jeshi la Polisi linahitaji njia mbadala ya kukabiliana na "Pressure" ya kidemokrasia inayotokana na mwamko wa wananchi.
 
Makamanda vedio inafunguka na kusikika vizuri mno ila hakikisha una GB za kutosha. Mimi hapa natumia 5GB!
 
Kwangu mimi haionekani kabisa mkuu?! Yaani siioni?! ninaona....
Part l

Part ll
Hivyo tu! Nafungulia kwenye simu.
 
Hii video imemuumbua Lema. Kwa hakika hapa Lema hakwepi. Ni wazi kwamba alichochea vurugu, na amemdharau mkuu wa mkoa.

Kwanini yeye asingeacha hayo maneno yasemwe na mkuu wa mkoa mwenyewe? Haya bwana ameyatafuta mwenyewe. Mwanzoni alifanya vizuri sana na ameongea maneno ya msingi sana. Lakini kuanzia baada ya mkuu wa mkoa kufika, Lema hakupaswa kuendelea kuwa msemaji tena.

Kwa busara za kawaida kabisa, alipaswa amuachie mkuu wa shule na mkuu wa mkoa waseme wanayotaka, lakini kitendo cha kusimama na kuwatangazia alichokisema mkuu wa mkoa na kuwatamkia wanafunzi kwamba hawa ndiyo aina ya viongozi tulionao na nini ambacho mkuu wa mkoa alipaswa kufanya hakikuwa sawa kabisa. Kwanza alipaswa aheshimu uamuzi wa mkuu wa mkoa kufika eneo la tukio.

Katika hili sitaweza kumtetea Lema. Amelikoroga.

I second you..
Kwa mtazamo wangu,hapo lema ni mchochez na wanafunzi wamekosa subira na uvumilivu,mkuu wa mkoa kaja wao wanamzomea??
 
Back
Top Bottom