Video, Kijana kutoka Sumbawanga aliyeahidiwa ajira na Q-NET

Abdul Nondo

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
515
2,875
Nina Shukuru jambo hili limepokelewa kwa uzito na Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na Ajira na wameahidi kulifanyia kazi. Pia, Jeshi la Polisi wamelipokea suala hili na wameahidi kulifanyia kazi.

Inaonekana Q-NET bado wapo maeneo mengi nchini na wana njia tofauti tofauti kutapeli watu. Serikali inapaswa ifanye operation rasmi nchini dhidi ya kampuni hii. Maana miaka yote ni malalamiko na hakuna hatua zozote zinachukuliwa, jambo linalotia wasiwasi, kwanini?
 
Back
Top Bottom