njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
Safi sana wazee wetu tuko nyuma yenu kwa hali na mali, mmefanya la maana kuwashtukia matapeli hao
Tulia wewe hao ndo wenye team sasa, huoni anazungumza akiwa klabuni na nyuma kuna official banners za club si ndo hawahawa juzi walisema hawaingizi team uwanjan tarehe 3 mkashangilia, haiwezekani team ya wananchi ikawa mikononi mwa watu wachache, nasimama na hawa wazee.Huyo mzee aloshtoa hata elfu tano kununua mchezaji au hata kuwanunulia.maji ya kunyw?
Unadhani jina Yanga Kandambili lilitoka wapi?Huyo mzee aloshtoa hata elfu tano kununua mchezaji au hata kuwanunulia.maji ya kunyw?
umemuona mzeee Mpili kule pembeni ? dah nawaamini sana hawa wazee haiwezekani team yao ichukuliwe na matapeli wa Gsm wao wanyamaze kimya, tuwaunge mkono wazee wa busara hawaMzee kashtuka Yanga wanavyodanganywa kilasiku.
Uongo mwingine wanaodanganywa Yanga ni huu,kesi ya Morison ipo CAS,Yanga wanaonewa ndo maana wanafanya vibaya kwenye ligi,"kwa usajili huu Yanga isipochukua ubingwa niulizeni mimi"by Injinia n,k
Hawa wazee watutolee mikosi! Wasitutoe kwenye njia .......Safi sana wazee wetu tuko nyuma yenu kwa hali na mali, mmefanya la maana kuwashtukia matapeli hao
Hawa wazee watutolee mikosi! Wasitutoe kwenye njia .......
Kilomoni si mlitaka kumtoa roho??Mzee kashtuka Yanga wanavyodanganywa kilasiku.
Uongo mwingine wanaodanganywa Yanga ni huu,kesi ya Morison ipo CAS,Yanga wanaonewa ndo maana wanafanya vibaya kwenye ligi,"kwa usajili huu Yanga isipochukua ubingwa niulizeni mimi"by Injinia n,k
Wazee kazeni hivyo hivyo msikubali timu ichukuliwe kiboya,nyie ndiyo wananchi asikutisheni yoyote wakileta za kuleta mnawavesha kitu cha sanda tuSafi sana wazee wetu tuko nyuma yenu kwa hali na mali, mmefanya la maana kuwashtukia matapeli hao
Kilomoni nyie si ndiyo mlikuwa mnamjaza ujinga?
ushaambiwa yanga ni team ya wananchi siyo kama simba ,yanga haiwezi kuwa chini ya matapeli wachache ,waachieni wananchi team yao