Video: Katibu wa wazee Mzee Magoma awashukia vikali GSM

Huyo mzee aloshtoa hata elfu tano kununua mchezaji au hata kuwanunulia.maji ya kunyw?
Tulia wewe hao ndo wenye team sasa, huoni anazungumza akiwa klabuni na nyuma kuna official banners za club si ndo hawahawa juzi walisema hawaingizi team uwanjan tarehe 3 mkashangilia, haiwezekani team ya wananchi ikawa mikononi mwa watu wachache, nasimama na hawa wazee.
 
Huyo mzee aloshtoa hata elfu tano kununua mchezaji au hata kuwanunulia.maji ya kunyw?
Unadhani jina Yanga Kandambili lilitoka wapi?

Nadhani hekima sio kudharauliana wote wana manufaa kwenye Kilabu...
 
Mzee kashtuka Yanga wanavyodanganywa kilasiku.
Uongo mwingine wanaodanganywa Yanga ni huu,kesi ya Morison ipo CAS,Yanga wanaonewa ndo maana wanafanya vibaya kwenye ligi,"kwa usajili huu Yanga isipochukua ubingwa niulizeni mimi"by Injinia n,k
 
umemuona mzeee Mpili kule pembeni ? dah nawaamini sana hawa wazee haiwezekani team yao ichukuliwe na matapeli wa Gsm wao wanyamaze kimya, tuwaunge mkono wazee wa busara hawa
 
Hawa wazee ni mashabiki wa Simba waliojivika uwanachama wa Yanga hawaitakii mema klabu yetu.
 
Back
Top Bottom