DAVID ZACHARIA KAFULILA mbunge kijana wa Jimbo la Kigoma Kusini kwa tiketi ya Chama Cha NCCR- Mageuzi ambae alipata umaarufu mkubwa katika siku za hivi karibuni baada ya kufichua Ufisadi mkubwa wa Escrow na kupelekea Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji fredrick werema kung'oka na Serikali kuyumba amepata aibu ya Mwaka akiwa nyumbani kwao Kigoma.
LABDA ni kulewa Umaarufu, ama labda ni kukosa ukomavu na ujana, Mbunge huyo machachali alisimama kwenye jukwaa akihutubia na kuwaambia watu wa kigoma kuwa hawana Haja ya kuanzisha Chama Cha Siasa, kama wanahamu ya kuanzisha Chama wanaweza kuanzisha Chama Cha MAWESE na MICHIKICHI.
Baada ya Kauli hiyo ya Kafulila, Maelfu ya wananchi waliojitokeza Mkutano hapo waliona wamedharauliwa na kukejeliwa na Mbunge wao huyo na walianza kuzomea na kumwambia kuwa UKAWA hawana chao Kigoma, jambo lililomfanya kafulila kushindwa kuongea na kushuka jukwaani.

Last edited by a moderator: