Jeshi la Israel ilifanya Mashambulizi kwa kushusha Makombora Gaza baada ya kutangaza na kutoa onyo Septemba 9, 2025 kwa Wapalestina kuhama na kuondoka kwenye makazi kwani watafanya mashambulizi huku Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu kudai ndo mwanzo wa vita
Source: AP NEWS
Video hii inaonyesha Muonekano wa Mji wa Gaza July 2023 kabla ya Mashambulizi ya Jeshi la Israel kwenye Mji huo Septemba 1, 2025.
--------------------
As Israeli bombardment intensified and expanded in scope, journalist Motaz Azaiza shared a video of a main road in Gaza City, showing a...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.