Ningekaa kusubiri malipo kwa kuigazaMke anampiga Kibao Mama yako mzazi, halafu unaingilia nawewe unapigwa kibao pia.
View attachment 3016337
Ungechukua uamuzi gani?
📹 HabariMtandaoni
Upo Kama Mimi mkuuNingekuwa jela kifungo cha maisha usiulize kwa kosa gani
😁😁😁😁Ningecheka tuu...