Video: Inasikitisha jinsi Mayele alivyologwa Kigoma vs Ruvu shooting

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika ligi ya Tanzania alikumbana na mauzauza ya ajabu huko kigoma

Mayele kama ilivyo kwa team nzima ya Yanga haamini katika uchawi anaamini katika dini na jicho la tatu la kiroho lilimtuma kwenda kutetema katika nyavu na kuweka kichwa chake kuondoa uchawi ila wachezaji wa Ruvu wakawa wanamsukuma

Hakuna namna nyingine zaidi ya kumzuia kijana huyu zaidi ya kuloga ,inabidi bodi ya ligi iisaidie Yanga sc kwa kufuata sheria na kuzuia wachawi wote wakiongozwa na simba sc ku practice mambo hayo ndo maana kuna li team huko Afrika halijawahi kuchukua kombe kazi kuzurura kuishia robo fainali na walivyo wajinga wanatambia fainali ya 1993 na nusu fainali ya 1974 ukiuliza kombe la Afrika liko wapi ni blah blah blah
 
Attachments

  • Kigoma nako jamaa alilazimisha kuweka uchawi golini kwa Ruvu shooting star lakini bado haikusa...mkv
    417 KB · Views: 35
Nimeandika uzi jana humu kuwa hii kosa kosa ya magoli kwa yanga ni uchawi wengine wamepiga kelele na kukataa...kiko wapi sasa?
 
Wananchiii…kama kuna shabiki wa Yanga anataka kujisajili aje PM. Kuna njia rahisi ya kujaza fomu online.
 
Pongezi kwa Masai aliyejidai kuwa shabiki wa Yanga kumbe sio, kwa kufanikiwa kumlisha vitu Mayele kwa kisingizio cha kumzawadia ng'ombe

1652207284038.png
 
Mayele ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea Tanzania, unaumwa nin wewe, kagere kaongoza misimu 2 kwa mabao tena akivunja rekodi yake mwenyewe, mayele hivyo vigoli vyake 12 unasema hatari
 
Mayele mwenye magoli 12 ndiyo hatari wa kulinganisha na peter shalulile wa the sundowns? Mayele level zake akina george mpole. Kwa dakika alizocheza kama angekuwa hatari alipaswa kuwa na goli 20+

hata kibu denis isingekuwa majeruhi hizo goli angekuwa nazo.
 
Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika ligi ya Tanzani alikumbana na mauzauza ya ajaabu huko kigoma

Mayele kama ilivyo kwa team nzima ya Yanga haamini katika uchawi anaamini katika dini na jicho la tatu la kiroho lilimtuma kwenda kutetema katika nyavu na kuweka kichwa chake kuondoa uchawi ila wachezaji wa Ruvu wakawa wanamsukuma

Hakuna namna nyingine zaidi ya kumzuia kijana huyu zaidi ya kuloga ,inabidi bodi ya ligi iisaidie Yanga sc kwa kufata sheria na kuzuia wachawi wote wakiongozwa na simba sc ku practice mambo hayo ndo maana kuna li team huko Afrika halijawahi kuchukua kombe kazi kuzurura kuishia robo fainali na walivyo wajinga wanatambia fainali ya 1993 na nusu fainali ya 1974 ukiuliza kombe la Afrika liko wapi ni blah blah blah
huo ni uwingo
 
Mshambuliaji anayeshika nafasi ya pili kwa ubora kwa sasa barani Afrika nyuma ya Peter Shalulile, the greatest Fiston Mayele ambaye takwimu zinaonyesha ni mshambuliaji hatari kuwahi kutokea katika ligi ya Tanzania alikumbana na mauzauza ya ajabu huko kigoma

Mayele kama ilivyo kwa team nzima ya Yanga haamini katika uchawi anaamini katika dini na jicho la tatu la kiroho lilimtuma kwenda kutetema katika nyavu na kuweka kichwa chake kuondoa uchawi ila wachezaji wa Ruvu wakawa wanamsukuma

Hakuna namna nyingine zaidi ya kumzuia kijana huyu zaidi ya kuloga ,inabidi bodi ya ligi iisaidie Yanga sc kwa kufuata sheria na kuzuia wachawi wote wakiongozwa na simba sc ku practice mambo hayo ndo maana kuna li team huko Afrika halijawahi kuchukua kombe kazi kuzurura kuishia robo fainali na walivyo wajinga wanatambia fainali ya 1993 na nusu fainali ya 1974 ukiuliza kombe la Afrika liko wapi ni blah blah blah
Wachawi kwa wachawi hurogana. Kama yeye sio mlozi angepita bila shida.
 
Yanga kila kitu mnalalamika mbona simba kipindi league inaanza team ziliahidiwa milion 10 atakaye mfunga simba ulisikia simba wanalalamika mahali simba waliambia wanawafanyia hujuma wageni ulisikia wakijibu mkasema wameloga kwa Orlando baada ya kuwasha moto ulisikia wakijibu yaani nyie ni kawaida yenu kulalamika na hapo mnaongoza league mngekuwa nafasi ya pili sijui ingekuwaje.
 
Back
Top Bottom