Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
hiyo ni movie.
sasa huyo ni mamba au mtoto wa mamba...huyo si hata mtoto wa miaka 4 anamdaka vizuri kabisaWadau nauliza hili kwa maana nimeona hii video ikimuonyesha jamaa wa huko cambodia akipambana na kumkamata mamba bila tatizo lolote, yani kama vile anakamata kuku, Hii kweli inawezekana au wanakua wamechanjia kidogo???
Unawajua mamba au unawaskia tu, hata awe mdogo kama mjusi bado atakutoa jasho tusasa huyo ni mamba au mtoto wa mamba...huyo si hata mtoto wa miaka 4 anamdaka vizuri kabisa
nawajua vizuri sana maana nimezaliwa na kukua karibu na mto....nilikua nawaona na bado naenda kuogelea; japokuwa kuna siku mwenzetu alidakwa na mamba ila sio kamamba hako nduguUnawajua mamba au unawaskia tu, hata awe mdogo kama mjusi bado atakutoa jasho tu
haha, acha uongo mkuu, mamba ni mamba tu, hata akiwa nje ya maji bado lina nguvu tuMamba akiwa nje ya maji anakuwa kama mjusi tu
Hana meno??Huyo ni mjusi,bado hajawa mamba kamili
haha, acha uongo mkuu, mamba ni mamba tu, hata akiwa nje ya maji bado lina nguvu tu
Wewe ni msukuma?Sio movie mzee ni kweli kabisa
Yap inawezekana mkuu mbona hata wewe ukiwa unaishinao mara kwa mara unaweza tu.Wadau nauliza hili kwa maana nimeona hii video ikimuonyesha jamaa wa huko cambodia akipambana na kumkamata mamba bila tatizo lolote, yani kama vile anakamata kuku, Hii kweli inawezekana au wanakua wamechanjia kidogo???