Video: Hivi ni kweli binadamu anaweza kupambana na mamba pasipo ndumba?

Sio movie mzee ni kweli kabisa
Mamba ukimuwahi akiwa hajafungua mdomo wake ukaubana hana ujanja.
Muscles za taya ya mamba zina nguvu wakati wa kufunga mdomo hapo anaweza vunja mifupa lakini hazina nguvu sana wakati wa kufungua mdomo.
 
Wadau nauliza hili kwa maana nimeona hii video ikimuonyesha jamaa wa huko cambodia akipambana na kumkamata mamba bila tatizo lolote, yani kama vile anakamata kuku, Hii kweli inawezekana au wanakua wamechanjia kidogo???

Huyo naye ni mamba?!! Mtu kashika kitoto cha mamba hakijaenea hata kwenye salfet ww unatuletea habar zako za kitoto?
 
Unawajua mamba au unawaskia tu, hata awe mdogo kama mjusi bado atakutoa jasho tu
Wanaume Wa DSM utawaju tu. Maana mnaogopa hata buibui na mijusi...
Hicho ni kitoto cha mamba yaan unakikamata kama kambale
 
Huyu mamba gan hana hata makeke ni mama toy anashikwa kwa fimbo na kuwekwa kwenye kiroba.... Labda kama alichomwa sindano.humshiki mamba namna hiyo
 
Mamba ukimuwahi akiwa hajafungua mdomo wake ukaubana hana ujanja.
Muscles za taya ya mamba zina nguvu wakati wa kufunga mdomo hapo anaweza vunja mifupa lakini hazina nguvu sana wakati wa kufungua mdomo.
Hapo nimekuelewa mkuu
 
Huyu ni mgonjwa acheni utani wa kifo halafu hamna aliye muona kabeba nn humu kwenye limfuko lake,

Kama ni mamba atakuwa ni mamba shoga
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom