VIDEO: Hayati Magufuli alilisema hili la upungufu wa maji bwawa la Mtera linalotokea kwa sasa

EA8A3A57-4BF4-4AC5-B379-976A981A9CEF.jpeg
 
Kuna mambo aliyofanya nayakubali na yapo humu nilishayasema tangia yupo hai ,tatizo lenu nyinyi mnamchukulia JPM alikuwa anafanya mambo mazuri tu.

Hakuna mwanasiasa akizungumza anatoa mawazo ambayo sio constructive ukiachana na wale Comic,nilichozungumza kwamba upigaji hauwezi kuisha ,kuzuia mitambo ya IPTL kufanya kazi ni kuzuia mirija ya watu wa awamu ya nne ili atenegeneza mirija ya awamu ya 5.

Ndiyo maana awamu ya 5 Mayanga na Nyaza zilipiga pesa kweli kweli, kipindi yupo waziri alinunua meli kwa bil kama 8 ambayo ilikuwa chakavu na ya kizamani na kipindi kile kile SSB alinunua meli ya kisasa nzuri zaidi ya ie aliyonunua JPM lakini SSB alinunua kwa bil 4 tu. Kwahiyo mtu wenu msimpambe sana alikuwa na makando kando mengi pia, haifai kuyazungumzia kwasasa lakini yapo humu yalishaelezwa wakati alipokuwa hai.
E4BEC750-F958-436D-843A-104A44193A56.jpeg
 
Back
Top Bottom