Kweli tupu inamaana JPM aliwezaje kuzuia mabwawa kukauka? Halafu anakufa yanaamza kukauka? Wakati wa JK ndo ulikuwa wimbo,mvua inyeshe au isinyeshe shida ileile.Huyu jamaa aliingia mwenye Urais akiwa anajua kila kona ya upigaji, ndomaana alikinzana na wengi sana.Kama alichokisema kisema hapa mwenye video ni uongo na propaganda...
January ni mtu wa hovyo Sana,ajabu eti kanataka kuwa rais.