VIDEO: Hayati Magufuli alilisema hili la upungufu wa maji bwawa la Mtera linalotokea kwa sasa

Tunajua hukumpenda na hakuna siku utampenda, ila alichosema si kinaonekana miezi 7 baada ya kufariki?
Kuna mambo aliyofanya nayakubali na yapo humu nilishayasema tangia yupo hai ,tatizo lenu nyinyi mnamchukulia JPM alikuwa anafanya mambo mazuri tu.

Hakuna mwanasiasa akizungumza anatoa mawazo ambayo sio constructive ukiachana na wale Comic,nilichozungumza kwamba upigaji hauwezi kuisha ,kuzuia mitambo ya IPTL kufanya kazi ni kuzuia mirija ya watu wa awamu ya nne ili atenegeneza mirija ya awamu ya 5.

Ndiyo maana awamu ya 5 Mayanga na Nyaza zilipiga pesa kweli kweli, kipindi yupo waziri alinunua meli kwa bil kama 8 ambayo ilikuwa chakavu na ya kizamani na kipindi kile kile SSB alinunua meli ya kisasa nzuri zaidi ya ie aliyonunua JPM lakini SSB alinunua kwa bil 4 tu. Kwahiyo mtu wenu msimpambe sana alikuwa na makando kando mengi pia, haifai kuyazungumzia kwasasa lakini yapo humu yalishaelezwa wakati alipokuwa hai.
 
Kuna mambo aliyofanya nayakubali na yapo humu nilishayasema tangia yupo hai ,tatizo lenu nyinyi mnamchukulia JPM alikuwa anafanya mambo mazuri tu.

Hakuna mwanasiasa akizungumza anatoa mawazo ambayo sio constructive ukiachana na wale Comic,nilichozungumza kwamba upigaji hauwezi kuisha ,kuzuia mitambo ya IPTL kufanya kazi ni kuzuia mirija ya watu wa awamu ya nne ili atenegeneza mirija ya awamu ya 5.

Ndiyo maana awamu ya 5 Mayanga na Nyaza zilipiga pesa kweli kweli ,Kipindi yupo waziri alinunua meli kwa bil kama 8 ambayo ilikuwa chakavu na ya kizamani na kipindi kile kile SSB alinunua meli ya kisasa nzuri zaidi ya ie aliyonunua JPM lakini SSB alinunua kwa bil 4 tu...Kwahiyo mtu wenu msimpambe sana alikuwa na makando kando mengi pia ,haifai kuyazungumzia kwasasa lakini yapo humu yalishaelezwa wakati alipokuwa hai.
Huu ndio ujinga wa tz wengi na jamaa alishalijua hilo akawa ana mix maendeleo na ushenz

Ukitaka kujua jamaa alikuwa mpigaji mtafute prof assad akusimulie jamaa kaupiga mwing kuliko wote

Ata uyu mama hivyo hivyo tu kapandisha makato ya simu afu kesho itasikia rais katoa bik 72 kusaidia taasis za kiraia afu kesho anaanzisha dili
 
Huyo nae alikuwa mpigaji tu ila ktk namna nyingine, miradi mingi ameanzisha ya gharama kubwa haiingizi hela hadi leo na madeni tunalipa huko nje.
 
Naamini mabadiliko ya tabia nchi hayajaanza leo wala jana, ila propaganda huko nje ni kana kwamba miezi 8 baada ya kifo cha mtumishi wa Mungu JPM hali ya hewa si rafiki tena, mabwawa hayana maji ya kutosha kuzalisha umeme, mito imekauka, visima havitoi maji tena. Nk

Tukiiamini hii kauli ya JPM kwenye hii video tutakuwa tunakosea???
 
Huyu jamaa aliingia mwenye Urais akiwa anajua kila kona ya upigaji, ndomaana alikinzana na wengi sana.Kama alichokisema kisema hapa mwenye video ni uongo na propaganda, niamini asingeweza kutatua swala la umeme vile.Kwaku aliweza, basi tuamini kuwa changamoto kubwa ilikuwa ni hicho alichokisema.

Hili la umeme ni janja tu, huwezi kunambia tatizo la umeme lisiwepo kwa zaidi ya miaka mitano, alafu leo ghafla tu baada ya January kuchukua madaraka uanze kuzingua.

Hii ni gape la kutafuta biashara ya vitu ambavyo ni mbadala wa umeme.
 
Back
Top Bottom