ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Hii Ndio Hali Halisi Ilivyo Mitaa ya Kwa Msuguri Mbezi Jijini Dar Es Salaam Leo Disemba 9, 2025 . Kuna Hali Ya Utulivu kufuatia Maagizo ya Serikali ya Kuwataka Wananchi wasio na Ulazima Wa Kutoka Wabakie Majumbani Kwao, huku hali ya Ulinzi Ikiimarishwa kwenye Barabara ya Morogoro .