Eli24
Senior Member
- Jan 1, 2018
- 164
- 365
Habar ndugu zangu wa JamiiForums
Naomba kuulizia hivi hzi game Za kisasa ambazo Mtu anavaa kichwan VR halafu anapewa controller mikononi kisha aanza kucheza hapa mjin Dar es Salaam znapatikana wap au zinauzwa wap??
Maana nataman kuanzisha hii biashara ya kuwa na sehemu ambayo watu watakuja kufanya hyo michezo... Mwenye taarifa wapi nitapata vifaa hvyo basi anijulisheee tafadhar
Ahsante