EMT
Platinum Member
- Jan 13, 2010
- 14,477
- 15,356
Anaongelea kuhusu Katiba mpya na Muungano. Anasema ni bora kuzungumzia kero za Muungano.
Anasema haamini kuwepo kwa serikali tatu bila kuvunjika kwa Muungano.
Anaongelea kuhusu shule za kata. Anasema japokuwa inadaiwa ni zake, hizo shule siyo zake bali alikuwa anatekeleza ilani ya CCM.
Anasizitiza elimu kwanza, siyo kilimo kwanza. Katoa mfano wa Tony Blair aliyeingia madarakani na kusizitiza elimu kwanza, elimu kwanza, elimu kwanza.
Anaonyesha masikitiko yake kuhuasiana milipuko ya mabomu Arusha. Pia anasikitika mpaka sasa waliohusika na hiyo milipo bado hawajakamatwa.
Anasema anahisi kuna watu wanatuonea "gere" kwa amani tuliyonayo, kwa utulivu wetu na kwa umoja wetu.
Kwa sababu bado haamini kama vyama vya siasa Tanzania vinaweza kuchukiana mpaka kuanza kurushiana mabomu.
[video=youtube_share;8iyJpDVHuRk]http://youtu.be/8iyJpDVHuRk[/video]