PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

PostGE2025 Video: DW waachia Ushahidi mpya juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,498
Machafuko ya uchaguzi wa Oktoba 2025 nchini Tanzania yalifunikwa na giza zito la kuzimwa kwa intaneti, baada ya mrindimo wa bunduki kunyamaza ghafla. Sasa, ushahidi mpya unafichua kile ambacho hakikusimuliwa - vifo vya watu ambao idadi yao bado haijulikani, miili iliyotoweka, na tuhuma za ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaodaiwa kufanywa na vyombo vya usalama.

Kurunzi ya DW inamulika kilichotokea Mwanza, jiji la pili kwa ukubwa nchini Tanzania, na inakuja na undani ambao haujawahi kuwekwa hadharani.

 
Wewe ndo umemwachia Mungu. Watanzania wataendelea kuomboleza na kupaza sauti
najua maumivu yenu ila mengine ni kusahau tu yapite!,watu washachinjwa na kuzikwa kusikojulikana hatuna uwezo wa kuwarudisha tena ni kuwaombea Mungu awape pumziko salama huko waliko.
 
Kawadanganye watoto wadogo.

Huoni hasara ya roho zaidi ya 10,000 zilizozimwa na wahaini waliojiapisha.

Ukikasirika sana njoo nipige wala sikuogopi
ugua pole ila ndo ivo tena hatuna namna ya kuwarudisha tena duniani!.
 
Back
Top Bottom