Keyboard_Warrior
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 6,321
- 11,009
Ukisikiliza wimbo wa davido If na fall beat ni kama zinaendana sana na nikisikiliza hii ya Chibu mmmhhhj nashindwa kutofautisha beat but ngoma ni nzuri ubunifu wa kideo uko poa na chibu ni chibu na davido ni davido otherwise hayo mengine watajuana wenyewe huko.....
Kitaliano..Hii lugha gan mkuu??
Naamini unajua maana ya sampling. Kwenye music sampling inaruhusiwa Kama utafuata taratibu zote. Wimbo wa Saida Karoli Karanga ambao Dayamondi alisample alimlipa yule Mama pesa na Mama alikiri, wasanii wengine walisample Kama Darasa na Belle9 ila sijui kama walimlipa. FA alisample Yalaiti kwa kufuata taratibupamoja na kuwa kwenye video Domo huwa hafunikwi na mtu.
tuwe wakweli, producer wa Diamond hii biti ka sample kwa Davido -fall, halaf alishindwa hata kuweka isi sound suspicious. kuna tatizo kubwa sana kwa huyu producer wa WCB, uwezo wake si mkubwa pia ana lack ubunifu, japo si producer mbaya.
Duuuuh!! Upo sahihi mkuu video zinafanana sanaDiamond...
Kuna haja kubwa ya kuwachunguza video directors waliofanya kazi na huyu kijana...
Haiwezekani kila video iwe na tatizo la kucopy videos za wasanii wengine...
Huenda hawa madirector wana nia mbaya na huyu kijana..!
Maana hii video inafanana kabisa na tonight ya r2bees na wizkid..!
Director wa Eneka na tonight ni huyo huyo anaitwa SesanDiamond...
Kuna haja kubwa ya kuwachunguza video directors waliofanya kazi na huyu kijana...
Haiwezekani kila video iwe na tatizo la kucopy videos za wasanii wengine...
Huenda hawa madirector wana nia mbaya na huyu kijana..!
Maana hii video inafanana kabisa na tonight ya r2bees na wizkid..!
Hili ni tatizo aisee...Director wa Eneka na tonight ni huyo huyo anaitwa Sesan
VERY RIGHT......Dogo ameanza kutuharibia Bongo Fleva yetu na Identity ya Watanzania.
Kwasasa sijui ana andikiwa na Wana Nigeria?
Jameni tunataka Bongo Fleva yenye radha ya ile ya mwaka 2004 to 2007...
Vailet ya Matonya Jameni...
Acheni kutuharibia muziki na ma Video tu.
JMP KAMATA WEZI
Sio kwa kukopi sasaMmemshauri aendane Na beats za sasa za wapopo kawasikia kafanyia kazi.
Siamini Kama mtaendelea ponda tena.
Very primitive!! Director mmoja anafanya video mbili tofauti kwa idea mojaDirector wa Eneka na tonight ni huyo huyo anaitwa Sesan
Mmiliki wa Trends za hiyo midundo ni TECNO hata DAVIDO kachomokea huko huko.pamoja na kuwa kwenye video Domo huwa hafunikwi na mtu.
tuwe wakweli, producer wa Diamond hii biti ka sample kwa Davido -fall, halaf alishindwa hata kuweka isi sound suspicious. kuna tatizo kubwa sana kwa huyu producer wa WCB, uwezo wake si mkubwa pia ana lack ubunifu, japo si producer mbaya.
Wajuvi, mnajua kuliko hata SESAN!Very primitive!! Director mmoja anafanya video mbili tofauti kwa idea moja
Sent from my TECNO-C7 using JamiiForums mobile app