Video: Chid Benz atoa ushauri mzito

Hivi ndivo ilivo.


Da kwisha habari yake, hiyo nguo ana week sasa hajabadirisha

Sasa anaelekea kwenye kuoverdose na kudondoka, ubaya wa unga mwili unachoka na mvutaji hajui kuwa keshachoka hivyo anaendeleza kiwango kilekile ndio kinatokea hicho kitu cha kuoverdose
 
Acheni kumchafua kwani kawakosea nini.....mbona huyo sie chidi na wewe unae jifanya chidi mungu anakuona....
 
Hizi ni hasara za kutumia vibaya ustaa. Kwani kuwa staa bila kutumia madawa au kuuuza MADAWA ya kulevya umaarufu wako utapotea? Kuna wakati unajisemea kimoyo moyo kuwa type ya watu HAWA wangepelekwa Ufilipino wakaishi huko. Mbaya zaidi serikali haiwachukulii hatua Kali wauza MADAWA ili hali wanajipeleka hata maofini kwenda kuhonga hela
 
Hivi Police wanashindwa kumkamata na kumbana awapeleke anaponunua huo Unga?
Kwanza tungeanza kumbana Kikwete alisema majina ya wauza unga anayo ila mpaka anatoka magogoni hakuwahi kututajia wala kuwakamata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom