Video Card

sulfametopyrazine

Senior Member
Apr 3, 2013
135
195
jmn kuna m2 anaweza kunisaidia jinsi ya kupata hizi video card kwa ajili ya laptop yangu....nimezitafuta lakini kila duka nikienda naambiwa zmeisha au hakuna...sasa msaada if any?
 

wickerman

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
411
250
Laptop yako inatumia a dedicated graphix card au iko shared na CPU?
Kama ni dedicated, i`m pretty sure ukiingia kariakoo utapata, ila kama ni shared na CPU, man, hapo haiwezekani, kubadilisha
 

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,302
2,000
Za laptop kwa ujumla hazipo upgradeable. Madukani utapata za desktop tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom