Asante sana mkuu ngoja nijaributumia cannon yenye lens kubwa kidogo kama mm55-300
Sio Video Camera ,tumia zile cannon digital camera au nikon na lens ndefu,zina piga picha na video, Bongo flavour wanatumia sana ila lens zao fupi na wide hawana shida ya umbali.[/QUOTE
Asante sana mkuu
Sehemu gani mkuu? Uko Conservation?Ukifika ngorongoro nitafute. Ndio ofisini kwangu
Tumia Olympus 75-440mm au Canon 660-350mm.View attachment 729166 View attachment 729167
Salaam wakuu,
Nina project moja ya ku-shoot video nataka kufanya kule Ngorongoro crater. Nataka kuchukua video hizo kutokea juu kwenye ukuta wa crater (crater rim) ambao uko kwenye mwinuko wa kiasi cha mita 600 kutoka kwenye sakafu ya kreta (crater floor) yaani kule chini waliko wanyama. Crater ya Ngorongoro ina kipenyo cha takribani kilometa 20. Ni video camera gani yenye optical zoom (siyo digital zoom) ya kutosha itakayoniwezesha kuona wanyama na kupiga picha katika eneo lote la crater kutokea juu kwenye ukuta wa crater?
Naomba wataalamu mnipe ushauri.
Asante sana mkuu. Ngoha nione kama naweza kupata hapa Arusha.Tumia Olympus 75-440mm au Canon 660-350mm.
Asante sana mkuu kwa kunipa mwangaSio Video Camera ,tumia zile cannon digital camera au nikon na lens ndefu,zina piga picha na video, Bongo flavour wanatumia sana ila lens zao fupi na wide hawana shida ya umbali.
Nipo NCAA head quarters uje Power houseSehemu gani mkuu? Uko Conservation?
OK mkuu nakutumia namba yangu kwa PMNipo NCAA head quarters uje Power house