Video: Another Problem from Hell? Adelson and Wiesel laud Rwanda’s Kagame

mkuu baada ya kusoma hiyo taarifa ya the African..nimeelewa..kumbe udhalimu nao unawenyewe..wanautetea....taabu tupu..huyu jamaa ni janga EA
 
I have heard Rwandan Tutsis refer to themselves as African Jews. Now it makes sense. The Tutsis and the Israelis share the same Racist ideology. The Rwandans have the Hutus to dehumanise and the Israelis have the Palestinians. The justification for both to commit crimes against innocent people is GENOCIDE. I think there are two sides to the genocide stories. The side we here about most is that of the victors. In my opinion both Rwanda under the Tutsis and Israel have committed GENOCIDE but since they have strong backers nobody will listen to the other side. Sad. Kagame was in good company there. The majority of the audience were Jews.
 
Mambo ya Israel ni magumu sana. Kwani wayahudi lile lilikuwa eneo lao, kilichotokea walizidiwa nguvu na waislamu wakishirikiana na utawala wa roma. Ndiyo maana wakakimbia wengine wakawa watumwa na wachache waliobaki walikuwa minority. Kutokana na Mungu alivyowaambia kuwa watakuja kurudi israel na mji utajengwa upya, ndizo hari ilivyotokea wakachukiwa dunia nzima kila pahala walikuwa wanauawa kama vifaranga vya kuku. Mojawapo usa iliwahi kukataa meli ya wakimbizi wa kiyahudi wakasema waacheni waludi huko wakauawe. Sasa ktk mazingira hayo UN wakaona wawatafutie taifa lao, na ndiyo wakarudishwa huko israel. Kama ulimsikiliza netanyahu alisema utabiri ulishatimia juu ya wao kurudi israel
 
inatia hasira pale haki ya watu/hutus/palestinian inapochukuliwa kwa nguvu, na watu wanajua ila wanakaa kimya:frusty:
 
Wapalestina wana haki gani wewe hilo kundi la wamisri lililovamia Nchi ya Israel na kujidai ni eneo lao..... ni sawa na Zanzibar waarabu wakisema ni yao haki itasimamamia wapi?
 
kweli hata wahutu hawana haki eeh?

mkuu ukiongelea siasa weka pembeni hisia za kidini, by the way im kristian too. ukiweka hisia za kidini utachangia kwa upofu.

jews waliambiwa ni nchi ya ahadi, lakini kumbuka kulikuwa kuna watu waliish pale wakawatimua wakaichukua nch yao ya ahadi,

walivyoparaganyika enzi za utawala wa warumi, ni zaid ya miaka elfu2/ 2000yrs ndio wanarudi wanasema hii ni our promised land, wapalestina wameish pale vizazi na vizazi kisha wanakuja watu baada ya miaka elfu 2 kudai ilikuwa ardhi ya babu zao.

na ukijua watu huish kwa kuhama hama utajisikiaje leohii ardhi tunayoish wanakuja wazulu wanasema tz ilikuwa ardhi ya babu zao miaka elfu 2 iliyopita nyinyi mlihamiaga tu tz!

hata kama kuna haki busara itumike, sio watoto wadogo wanauliwa , nyumba zinabomolewa pasi na huruma.
 
I have heard Rwandan Tutsis refer to themselves as African Jews. Now it makes sense. The Tutsis and the Israelis share the same Racist ideology. The Rwandans have the Hutus to dehumanise and the Israelis have the Palestinians. The justification for both to commit crimes against innocent people is GENOCIDE. I think there are two sides to the genocide stories. The side we here about most is that of the victors. In my opinion both Rwanda under the Tutsis and Israel have committed GENOCIDE but since they have strong backers nobody will listen to the other side. Sad. Kagame was in good company there. The majority of the audience were Jews.
Tutsi commited genocide??na sijui hata kama unaelewa maana ya genocide na hizi garbage mnatoa wapi na kama hujui kitu bora ukae kimya kuliko hizi BS ulizoandika hapo juu,hata NAZI Germany ilikuwa na bado ina watetezi wake...pls go educate yourself.
 
inatia hasira pale haki ya watu/hutus/palestinian inapochukuliwa kwa nguvu, na watu wanajua ila wanakaa kimya:frusty:
Wahutu hawana haki? you are out of your stupid ----ing mind!!
 
wewe fidodido makamasi ni wapi nimeandika watusi hawana haki??? rudia tena kusoma na kusoma comments zangu we fukudu.:tinfoil3:
 
kweli hata wahutu hawana haki eeh?

mkuu ukiongelea siasa weka pembeni hisia za kidini, by the way im kristian too. ukiweka hisia za kidini utachangia kwa upofu.

jews waliambiwa ni nchi ya ahadi, lakini kumbuka kulikuwa kuna watu waliish pale wakawatimua wakaichukua nch yao ya ahadi,

walivyoparaganyika enzi za utawala wa warumi, ni zaid ya miaka elfu2/ 2000yrs ndio wanarudi wanasema hii ni our promised land, wapalestina wameish pale vizazi na vizazi kisha wanakuja watu baada ya miaka elfu 2 kudai ilikuwa ardhi ya babu zao.

na ukijua watu huish kwa kuhama hama utajisikiaje leohii ardhi tunayoish wanakuja wazulu wanasema tz ilikuwa ardhi ya babu zao miaka elfu 2 iliyopita nyinyi mlihamiaga tu tz!

hata kama kuna haki busara itumike, sio watoto wadogo wanauliwa , nyumba zinabomolewa pasi na huruma.

Wapalestina ni Taifa la kubuniwa tu. Jina lenyewe palestine lilitungwa na waroma!
 
kweli hata wahutu hawana haki eeh?

mkuu ukiongelea siasa weka pembeni hisia za kidini, by the way im kristian too. ukiweka hisia za kidini utachangia kwa upofu.

jews waliambiwa ni nchi ya ahadi, lakini kumbuka kulikuwa kuna watu waliish pale wakawatimua wakaichukua nch yao ya ahadi,

walivyoparaganyika enzi za utawala wa warumi, ni zaid ya miaka elfu2/ 2000yrs ndio wanarudi wanasema hii ni our promised land, wapalestina wameish pale vizazi na vizazi kisha wanakuja watu baada ya miaka elfu 2 kudai ilikuwa ardhi ya babu zao.

na ukijua watu huish kwa kuhama hama utajisikiaje leohii ardhi tunayoish wanakuja wazulu wanasema tz ilikuwa ardhi ya babu zao miaka elfu 2 iliyopita nyinyi mlihamiaga tu tz!

hata kama kuna haki busara itumike, sio watoto wadogo wanauliwa , nyumba zinabomolewa pasi na huruma.
Hakuna cha upofu wala nini nikiwa nachangia.... Asili ya Nchi hiyo ya Israel ni Abraham alipewa eneo lote na Mungu tena yeye na Vizazi vyake ila ilipofika miaka ya Yakobo ambeye ndie Israel na ndio eneo aliloishi na kufia hapo hapo wanae ndio waliohamia Misri wakiongozwa na Yusuph na baada ya kuzaliana kwa wingi ndipo Musa akawaambia Kwa niaba ya Mungu Warejee kwenye Nchi yao ya Ahadi.... Caanan ambayo ndio hayo maeneo aliyopewa Ibrahim na Wao walichaguliwa kuanzia ilipo Jerusalem so walipokuwa wanarejea ndipo waliwakuta watu na Mungu aliwaambie wawaangamize wote na wasiache masalio ikiwemo Mbuzi na Kondoo ila kwa Utashi wao waliona watoto na vijana ni wazuri wakawaacha na hilo lilikuwa ni kosa kubwa ambalo linawasumbua hadi leo.... so hao Warumi walitawala na kuitawanyisha waisrael na sasa Wamesharejea na lile kosa walilofanya kuacha masalia hawatakiwi kulirejea .....Muhahahahaha Kill all Arabs damn... Sio Kwao...

Kwa historia sihofii kuwa hata nchi hii ta Tanzania Miaka ya Nyuma ilikuwa na wenyewe na wakija kama wananguvu watapishwa tu.... Marekani mbona ilikuwa na Wahindi wekundu walipigana na wakashindwa na mwenye nguvu.... Mkuu History ni History tu mtu chake ni chake tu.... Ukiniambia Mwarabu zanzibar ni yake nakataa hadi kesho

Wahutu sijajua Historia yao ila naweza kusema wao ndio wa kwanza kufika Rwanda kwani asili kubwa ya Tutsi inaweza kuwa ni wachush kwa sura na maumbile japo DNA yao ni ya Kibantu Hutu ni Bantu kamili
 
Hakuna cha upofu wala nini nikiwa nachangia.... Asili ya Nchi hiyo ya Israel ni Abraham alipewa eneo lote na Mungu tena yeye na Vizazi vyake ila ilipofika miaka ya Yakobo ambeye ndie Israel na ndio eneo aliloishi na kufia hapo hapo wanae ndio waliohamia Misri wakiongozwa na Yusuph na baada ya kuzaliana kwa wingi ndipo Musa akawaambia Kwa niaba ya Mungu Warejee kwenye Nchi yao ya Ahadi.... Caanan ambayo ndio hayo maeneo aliyopewa Ibrahim na Wao walichaguliwa kuanzia ilipo Jerusalem so walipokuwa wanarejea ndipo waliwakuta watu na Mungu aliwaambie wawaangamize wote na wasiache masalio ikiwemo Mbuzi na Kondoo ila kwa Utashi wao waliona watoto na vijana ni wazuri wakawaacha na hilo lilikuwa ni kosa kubwa ambalo linawasumbua hadi leo.... so hao Warumi walitawala na kuitawanyisha waisrael na sasa Wamesharejea na lile kosa walilofanya kuacha masalia hawatakiwi kulirejea .....
hapo juu umechanganya siasa na dini , yaleyale msiotaka wafanye akina muslim brotherhood,, histori ya kibibilia isome na kuamini ukiwa ndani ya dini yako. ukiwa nje kwa siasa huwezi kamwe kutumia reference na kutaka kila mmoja aiamini na kuikubali, wakati wengine hawana dini yoyote. lakini ni vizuri pia umesema kulikuwa kuna watu wanaish kabla ila waliachwa na kwa maana hiyo hao ndio ardhi ya haki yao.

Muhahahahaha Kill all Arabs damn... Sio Kwao...

hapo juu umeridhihisha jinsi akili zaki zilizo finyu, watoto kuuliwa na wengine kubomolewa nyuma zao ni sawa kwako, hata binadamu usiyemjua ni kushangaza kufurahia kifo/vifo vyao.

Kwa historia sihofii kuwa hata nchi hii ta Tanzania Miaka ya Nyuma ilikuwa na wenyewe na wakija kama wananguvu watapishwa tu.... Marekani mbona ilikuwa na Wahindi wekundu walipigana na wakashindwa na mwenye nguvu.... Mkuu History ni History tu mtu chake ni chake tu....

kwa kurefer comment yako ya "kill them all sio kwao" kwahiyo hata hao watakaokuja kudai kihistoria tz ilikuwa ardhi yao kwahiyo ni saw tu wao kuja and "kill them all tanzanianas" ??? fukudu wewe!!

Ukiniambia Mwarabu zanzibar ni yake nakataa hadi kesho
wabantu znz ni wahamiaji tu, kwa hitoria kisiwa kilikuwa hakina mkaaji, kwahiyo kwa kauli zako mwenye nguvu mpishe, ni sawa tu wakija waarabu na nguvu na kuwatimua wabantu au to "killl them all bantus"

Wahutu sijajua Historia yao ila naweza kusema wao ndio wa kwanza kufika Rwanda kwani asili kubwa ya Tutsi inaweza kuwa ni wachush kwa sura na maumbile japo DNA yao ni ya Kibantu Hutu ni Bantu kamili
mkuu hujielewi toka mwanzo ya komments zako hadi mwisho, hata kama kwahiyo wahutu ni yao walikuwa wahamiaji wa kwanza, ni sawa tu wenye nguvu watutsi kuwatimua and then "kill them all hutus" ???!!
 
hapo juu umechanganya siasa na dini , yaleyale msiotaka wafanye akina muslim brotherhood,, histori ya kibibilia isome na kuamini ukiwa ndani ya dini yako. ukiwa nje kwa siasa huwezi kamwe kutumia reference na kutaka kila mmoja aiamini na kuikubali, wakati wengine hawana dini yoyote. lakini ni vizuri pia umesema kulikuwa kuna watu wanaish kabla ila waliachwa na kwa maana hiyo hao ndio ardhi ya haki yao.

hapo juu umeridhihisha jinsi akili zaki zilizo finyu, watoto kuuliwa na wengine kubomolewa nyuma zao ni sawa kwako, hata binadamu usiyemjua ni kushangaza kufurahia kifo/vifo vyao.

kwa kurefer comment yako ya "kill them all sio kwao" kwahiyo hata hao watakaokuja kudai kihistoria tz ilikuwa ardhi yao kwahiyo ni saw tu wao kuja and "kill them all tanzanianas" ??? fukudu wewe!!

wabantu znz ni wahamiaji tu, kwa hitoria kisiwa kilikuwa hakina mkaaji, kwahiyo kwa kauli zako mwenye nguvu mpishe, ni sawa tu wakija waarabu na nguvu na kuwatimua wabantu au to "killl them all bantus"

mkuu hujielewi toka mwanzo ya komments zako hadi mwisho, hata kama kwahiyo wahutu ni yao walikuwa wahamiaji wa kwanza, ni sawa tu wenye nguvu watutsi kuwatimua and then "kill them all hutus" ???!!

Naona umehishiwa hoja umeng'ang'ana na Kill them all tu.... Hebu potea zako unachojibu ni zaidi ya Uharo.... Nilichosema mimi ndio kipo Sawa.... History ndio ina Ongea
 
..
You sound like pathetic TUTSI.
mbona second genocide haitamponya MTUTSI yeyote!!
this time mtakimbilia IZRAEL ambako nako kumejaa!!!!!!!!!
 
Am Not tutsi by the way mimi ni Mcush na asili yetu imeanzia mbali middle east.... Usitake kuwatisha Watutsi kwani moto wa kuotea Mbali Huwawezi kwa Lolote,. Bakia na Ndoto Zako tu za Alinacha.
 
..
You sound like pathetic TUTSI.
mbona second genocide haitamponya MTUTSI yeyote!!
this time mtakimbilia IZRAEL ambako nako kumejaa!!!!!!!!!
What a tragic,low life piece of shiit you are.
 
Back
Top Bottom