OGTV JF-Expert Member May 22, 2016 353 167 Jun 11, 2016 #1 Puff dady, Pdidy, dirty money or badboy aliongea hivi kwenye sherehe ya mtoto wake akigraduate
M mbunza Member Jan 14, 2016 29 18 Jun 11, 2016 #3 Kiinglish kirefuuuu. Maelezo pliz. Kwani kasemaje hapo?
The Businessman JF-Expert Member Jan 9, 2014 7,397 9,246 Jun 11, 2016 #6 Huyu jamaa watoto wake wote wa Kiume kawatoga masikio.
OGTV JF-Expert Member May 22, 2016 353 167 Jun 11, 2016 Thread starter #7 mwanga lutila said: Huyu jamaa watoto wake wote wa Kiume kawatoga masikio. Click to expand... Hapo sasa, woote masikio yametogwa full mabishoo, ili anawapa support na deals mbalimbali, mmoja kashamsaini badboy records
mwanga lutila said: Huyu jamaa watoto wake wote wa Kiume kawatoga masikio. Click to expand... Hapo sasa, woote masikio yametogwa full mabishoo, ili anawapa support na deals mbalimbali, mmoja kashamsaini badboy records
dalloboy JF-Expert Member May 31, 2016 314 246 Jun 12, 2016 #13 Nyani Ngabu said: USA baby.... Click to expand... Ndo nn
mdukuzi JF-Expert Member Jan 4, 2014 20,017 49,172 Jun 12, 2016 #15 tandoor said: Kaongea nin Kwan Wajamen Click to expand... we wa udom au st joseph utaambulia kuangalia midomo inacheza tu
tandoor said: Kaongea nin Kwan Wajamen Click to expand... we wa udom au st joseph utaambulia kuangalia midomo inacheza tu
Nyani Ngabu Platinum Member May 15, 2006 93,497 119,426 Jun 13, 2016 #16 dalloboy said: Ndo nn Click to expand... Ndo USA baby...
mtima nyongo JF-Expert Member Dec 29, 2015 1,947 2,047 Jun 13, 2016 #17 mdukuzi said: we wa udom au st joseph utaambulia kuangalia midomo inacheza tu Click to expand... Na kweli sisi wa udom inabidi tuwe kimya tu!
mdukuzi said: we wa udom au st joseph utaambulia kuangalia midomo inacheza tu Click to expand... Na kweli sisi wa udom inabidi tuwe kimya tu!