Yuko Geita kwenye msiba wa mama yake amabye anazikwa leo..karibu sana kwnenye maziko..Habari ni kwamba yule mwanamama wa wanawake na maendeleo kada maarufu na alishakua mbunge vitu maalum aliendaga wapi nowdays
amefutika kabisa sijamsikia Dodoma wala Geita tokea apatwe na tukio baya la jamaa kukacha harusi sijapata habari zake tena.
Naomba taarifa tafadhali kwa wenye ushahidi wenye mashiko where is the woman.
Karibuni.
Ulikuwa naye mnafanya nn?Jana nilkuwa nae Dodoma nkuhungu kwenye nyumba yake iliyopo jirani na kanisa la roma
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama amezaa na wanaume wengi tu, kitu gani kinakufanya usiamini kuwa mzee wa Msoga ni miongoni mwa wanaume waliowahi kuwa na uhusiano naye?[emoji848]nyie acheni kusema uongo hakuwa na uhusiano na mzee wa msoga,huyu dada hajawahi kupata malezi mazuri,amelelewa na bibi yake na wajomba zake,amezaa na wanaume wengi tu,akiwemo rc wa mara ba sasa ni mke wa ndoa wa dr likwelile
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nimewaona msibani pamoja na jiwe
Hivi mawela iko sehemu gani hapo sinza, jina nalikumbuka ila location imenitoka!Hua anakuja kwenye nyumba yake iliopo sinza Karibu na mawela bar na kuondoka,makazi Yupo mwanza
Sent using Jamii Forums mobile app