Vicky Kamata Adakwa na Polisi

Hapa tukitaka kuanza kuangalia sjui nani kafanya nini haisaidii lolote kama ni viti vya chumbani vya sebuleni mwisho wa siku nani anayefaidika?? Iwe wanagombania hayo mnayosema iwe kweli au iwe si kweli ni mambo binafsi ya ndani sisi yatatufaidia nini?? Bora tu kama wahusika wa ndani ya bunge ama polisi wawapatanishe wafanye kazi za wananchi si ugomvi ambao wao na sisi wote hakuna unayemsaidia zaidi wapatanishwe wafanye mambo ya msingi yaliyowapeleka bungeni.
 

magige mwenye fulana nyekundu
 
Christine Magige ni kifaa kwa hiyo mjue si bure
 
Ngoma za vigogo hizo, wanalipwa pesa za masikini wa tanzania kwa uchakachuzi na ngono zembe duh.
 

Lucy Mayenga....tutaona mengi sana mwaka huu
 

Mmmh sasa cha ajabu kipi hapa miaka kumi ni mingi sana katka kufanikiwa.. hata mitano tu ni mingi sana.. usjali si ajabu hata wewe siku unaweza lala ukaamka na fuko la hela..
 
Actually usitutoe kwenye msitari tupo na 6 ututafute wiki ijayo.
 
Mmmh sasa cha ajabu kipi hapa miaka kumi ni mingi sana katka kufanikiwa.. hata mitano tu ni mingi sana.. usjali si ajabu hata wewe siku unaweza lala ukaamka na fuko la hela..

Miaka kumi ni mingi sana katka mafanikio. Wala hakuna la ajabu pia vicky hana mafanikio ya kutisha bado sana.
 
Haya mambo ya ajabu kabisa, eti nao hawa ni viongozi tena kwenye nafasi nyeti kabisa za kiutawala na kimaaamuzi, ptuuu!
 
Chanzo hicho kilisema pamoja na majibu hayo, mpelelezi huyo aliingiwa na hofu baada ya kutajiwa jina la kigogo huyo wa ngazi za juu serikalini

Mmmh sjaelewa aliingiwa na woga akaendelea kupeleleza au akaacha???
 
Mmepeleka watu bungeni kutukanana sasa sijui wanawagombea vigogo au laa, kazi yao kubwa ni kusema Ndiooo na kupiga vigelegele wapinzani wakiwa wanatukanwa na lukuvi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…