Vichwa vya magazeti kesho

Nipashe: CHADEMA,CCM WACHUANA VIKALI ARUMERU MASHARIKI; SIYOI: aongoza kata ya kwao.
Nassari: Azibiti maeneo maeneo mengi.
Vyama vingine si chochote si lolote.
 
ingekuwa ni miaka ile basi tungeimba
''Lusinde kabong'oooa Nassari kamtia DO LE''...
 
UHURU: Wananchi wajitokeza kupiga kura Arumeru.
JAMBO LEO: Kampeni zaisha kwa amani Arumeru.
MWANANCHI: Siku ya kufa Mbwa pua zote zinaziba...hatimae CCM yapoteza jimbo la Arumeru.
TANZANIA DAIMA: ukitaka kuiona TIGO ya kuku basi subiri upepo...''hatimae upepo wawapuliza CCM arumeru.



ingekuwa ni miaka ile basi tungeimba
''Lusinde kabong'oooa Nassari kamtia DO LE''...
 
Ninapowapendea JF ni hapo tuuuuu, yaani nimechekaje asubuhi yote hii
 
MICHUZI - Dk. Nchimbi kuzindua kampeni za Dk. Shayo Ubunge wa Afrika Mashariki
 
Uhuru: Chadema wazua vurugu arumeru na mwanza, polisi yaionya chadema.
Habari leo: Ccm washinda vijibweni-kigamboni, chadema washinda kiduchu arumeru
jambo leo: Jk kuonana na wawekezaji wa migodi ya barrick
daily news: Ccm and tlp claims foul in arumeru by-election, nape says "ccm has not lost ar. By-election"

mwananchi: Chadema yaiteka arumeru, nassari ambwaga sioi kwa kura nyingi, nape,lusinde na nchemba washindwa kuzungumza.
Tanzania daima: Chadema hureee, nassari amnyonyoa sioi. Mkutano mkubwa kufanyika usa river.
Majira: Chadema washinda kwa mbinde arumeru.
Nipashe: Nassari aibuka kidedea ar. Mashariki, sioi na ccm wapoteana.
 
Tanzania Daima: Siku ya wajinga yawa ya wajanja wa Arumeru Mashariki / Yamekwisha timia!
 
Back
Top Bottom