Vichwa vya habari baada ya Matokeo Oktoba

Vichwa vya habari baada ya Matokeo Oktoba

Ccm Yazikwa Rasmi Magufuli Aangukia Pua. Kwa Heri Kikwete
 
Masanduku 40 yenye kura Za "goli la mkono " yakamatwa ndani lori la cccm !
 
Hahahahahaaa ndoto hizi km za hula ulela... hovyooo
 
Nipashe
Matokeo ya awali LOWASA AMBURUZA MAGUFULI
.Aongoza 70%
.achukua majimbo zaidi ya 170
.bunda, chalinze, kibamba, siha yote Chadema.
Mwananchi
LOWASA ANG'ARA
.aisambaratisha ccm
.ukawa watinga ikulu mchanavkweupee
.wagombea wa ccm wakimbia matokeo
.magufuli aenda mapumziko nje ya nchi.
Tanzania Daima
UKAWA WALEEEEE
.wachukua nchi saa mbili asubuhi
.kikwete asema aliyajua
.nape aanguka jimboni kwake akimbilia nje ya nchi.
Raia Mwema
KAMATI YA KINANA WAIUA CCM
.waupa ukawa ushindi
.lowasa 70%
.tuma yapewa vitisho.
UHURU
UKAWA WACHEZA RAFU
.ccm haitingishiki-kikwete.
.waandishi WA habari waandika uongo
.tume yahongwa na lowasa
~JK awaambia wanachama wasife moyo
~lubuva ni kaka wa mke wa lowassa
TANZANIA DAIMA
~nape ajiua
~mwigulu akamatwa mpaka wa TZ na malawi
~lusinde azirai mpaka sasa
~jk hajurikani halipo mpaka sasa
~mzee mkapa hawa bubu gafla
~wasira nusura amjeruhi msimamizi wa kituo
~malecela kasema aliionya ccm
~mbuyu waanguka
Mods Nilianzisha uzi huu mkafuta najuwa imewauma maana magazeti yanaonyesha ushindi kwa Lowassa
Mmeshindwa hata kuunga na huu sasa naweka hapa futeni tena.
Mnajitia aibu kwa kuonyesha mirengo yenu ya kisiasa na mahaba makubwa kwa Ccm
Kama kushinda watashinda tu na kama kudondokea pua watadondokea tu.
 
torongei apigilia msumari Wa mwisho,chalinze.damu ya kamukara yaitesa CCM,Bukoba vijijini.
 
Back
Top Bottom