Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,347
- 26,153
'Nape akatwa mtama huko Mtama'
'Wasira aonyeshwa hasira Bunda'
'Zungu apatwa na kizunguzungu Ilala'
'Mchange ashindwa kuzichanga Kibaha Mjini'
'Lema aunguruma Arusha Mjini'
'Mnyika ateka nyika ya Kibamba'
'Mdee mambo byeee Kawe'
Ongezea...
'Wasira aonyeshwa hasira Bunda'
'Zungu apatwa na kizunguzungu Ilala'
'Mchange ashindwa kuzichanga Kibaha Mjini'
'Lema aunguruma Arusha Mjini'
'Mnyika ateka nyika ya Kibamba'
'Mdee mambo byeee Kawe'
Ongezea...