Vichwa bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania nje ya siasa

Huwezi kutaja tu unavyojisikia,kazi zao na mchango wao katika jamii ndio utawatambulisha.
Unataka maelezo ya nani kati hao?
Ni bora ungetaja wamefanya lipi tofauti na waliowatangulia ambao pia wamefanya mambo kama hayo. Siyo kutaja tu majina maana kama ni kutaja tu majina kila mtu humu anaweza kutaja anvyojisikia yeye.
 
Huwezi kutaja tu unavyojisikia,kazi zao na mchango wao katika jamii ndio utawatambulisha.
Unataka maelezo ya nani kati hao?
Siyo suala la mchango wao tu. Unapofanya comparison au ulinganifu wa watu au vitu lazima uwe na pande zaidi ya moja . Kama ni watu wawepo wengine wa kulinganisha nao kwa kazi au impact yao. Sasa wewe hao watu wako umewalinganisha na akina nani hadi uka-conclude kwamba wao ndio the best? ACHA POROJO NA MAHABA BINAFSI. Kuna ambayo naweza kukubaliana na wewe kiasi fulani hasa kwa upande wa technololojia.
 
Pamoja na mambo mengine mengi mimi nimeamua kuangalia zaidi mchango wao kwa jamii na weledi katika kazi zao.

ndio maana nikakuambia kwamba thread yako unatakiwa kuibalisha heading maana inabase kwenye personal observation not comparison.
 
Kuna njia nyingi za kufanya comparison,personal observation ni njia mojawapo,hakuna shida.
ndio maana nikakuambia kwamba thread yako unatakiwa kuibalisha heading maana inabase kwenye personal observation not comparison.
 
Mkimuacha Dr Mengi, Prof Lipumba (siasa imemuharibu), Fatma Karume na Mange kimambi, Mo Deuj aisee utakua hujawatendea haki.
 
Kaanzisha jukwaa la Cheka Tu linatoa fursa ya stand up comedy kupitia vijana wadogo kukua kwa kasi nchini.
Kuanzisha tu ndio moja kwa moja kishakuwa legend?

Nikwambie kitu vitu vizuri huwaga vinaongea vyenyewe na si maneno na ukubwa unakuja wenyewe.

Hao niliowataja hawakuwa na uwezo wa kuandaa jukwaa kama hilo,ila kupitia wao wamewa inspire watu wengi mno na kazi zao zinaongea,zinaonekana hutakiwi kutumia nguvu kuzielezea unaziona na wamefanya kazi hizo miaka mingi.
 
Mbaraka Mwinshehe, Marijani Rajab- Wanamuziki
New Life Band- Gospel Music Band
Mosses Kulola- Mhubiri wa kihistoria Tanzania
Edwin Mtei- Mwanzilishi wa Chadema
 
Back
Top Bottom